herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,143
- 4,724
Na ndio shida ilipo. Anataka kila kitu aamue yeyeNi Watanzania kupitia CCM wamempa Magufuli nchi na yeye kwa kutoelewa amepokea na kufanya hata Serikali na wafanyakazi pia ni wa kwake ndo maana mambo mengi hayaendi ingawa yanasemwa sana kwa sababu wote wanamsikiliza yeye tu. Bahati mbaya hana uwezo wa mengi sana hata ya kawaida kabisa. Hii inamfanya aseme na kutenda mambo ya ajabu mpaka ya kitoto.