Yeye Magufuli huko Yuko na mkewe na anapata huduma za kinyumba Kama kawaida. Vipi Msigwa huduma za kinyumba anapatia wapi, maana ana muda mrefu Sana huko, au naye mke wake Yuko huko?
Kama mke wa Msigwa Yuko huko kwa muda wote was miezi miwili, je Yuko huko kwa gharama za Nani?
Kama ni gharama za serikali je hayo ni matumizi sahihi ya fedha zetu?
Kama Msigwa huko Yuko mwenyewe je huo sio ukiukwaji wa haki za binadamu kwa kukandamiza haki ya kupata burudani kwa mama Msigwa na Msigwa mwenyewe?
Vipi kuhusu watoto nyumbani, nao si wana haki ya kupata mapenzi ya baba na Mama?
BAK,
Pascal Mayalla na
Mshana Jr,
Salary Slip ,
Bia yetu,
jingalao,
Retired, Naombeni mnisaidie majibu