Gerson Msigwa: Kinachoendelea mitandaoni kuhusu "No Reforms, No Election" ni UPUUZI

NRNE
 
Wana jamii forums hash tag ya No reforms no election imetibua Hali ya hewa wanufaika wa keki ya Taifa wameanza kutoa milio eti ni upuuzi,kanyagieni hapo hapo,Kila comment ya machawa tia Neno no reforms no election,twende sasa.
Komenti itasaidia nini kuongeza kura kwenye uchaguzi?? Hivi bado mna ndoto ya kuzuia uchaguzi? Tatuteni kura wazee baadaye msije kuilalamikia ccm inaiba kura, wakati mpaka sasa hamna mchakato wowote wa kujiandaa
 
Wanakera sana na hiyo no reform, hii jeuri ya reform tunaiona mtandaoni tu ngoja oct kama utaona mtu anaweza kushindana na serikali.
sio bure tunaitwa Kenge, kwani serikali imetokana na nani kama sio wananchi, ni ajabu mwananchi unajiona inferior kwa watu ambao wewe ndiye umewaweka madarakani wakutumikie
 
NO REFORM NO ELECTION
NO REFORMA NO ELECCIÓN
PAS DE RÉFORME PAS D'ÉLECTION
لا إصلاح لا انتخابات
不改革,不选举
НЕТ РЕФОРМЫ – НЕТ ВЫБОРОВ
कोई सुधार नहीं, कोई चुनाव नहीं
কোনো সংস্কার নেই, কোনো নির্বাচন নেই
SEM REFORMA, SEM ELEIÇÃO
HAKUNA MAGEUZI, HAKUNA UCHAGUZI
改革なし、選挙なし
KEINE REFORM, KEINE WAHL
개혁 없으면 선거 없다
REFORM YOK, SEÇİM YOK
NESSUNA RIFORMA, NESSUNA ELEZIONE
KHÔNG CẢI CÁCH, KHÔNG BẦU CỬ
بدون اصلاحات، بدون انتخابات
کوئی اصلاح نہیں، کوئی انتخاب نہیں
ਕੋਈ ਸੁਧਾਰ ਨਹੀਂ, ਕੋਈ ਚੋਣ ਨਹੀਂ
ไม่มีการปฏิรูป ไม่มีการเลือกตั้ง
BABU GYARA, BABU ZABE
ÌYÍPADÀ KÒ SÍ, ÌDÌBÒ KÒ SÍ
AKUKHO GUQULO, AKUKHO UKHETHELO
ምንም �ውጥ �ልመጣ ምንም ምርጫ የለም
ENWEGHỊ NDOGHARỊ, ENWEGHỊ NTULỊAKA
JIJJIIRAA HIN QABNU, FILANNOS HIN QABNU
 
Mwanzo nilijua wewe ni Muislamu
 
Allah atamfanyia wepesi mama yetu

Free palestine 🇵🇸
I care about Palestine more than I care about Tanzania.
Acha watanzania weusi wenzangu watekwe wauliwe watajua wenyewe.
Free my brothers in Iman from Palestine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…