Kwahiyo vyombo vya habari ni online TV pekee?Magazeti lisening skills zero .Raisi alitamks kabisa TV za mitandaoni wao hilo la magazeti walilitoa wapi? nenda youtube hotuba nzima ya Raisi imo alitaja online Tv tu
Yaani huu ni ushahidi kuwa waandishi wetu wa habari wa magazeti viwango vyao viko chini mno kuanzia uelewa ni zeroAlisema kabisa tv mikononi, sasa watu hapa wanafai ni magazeti...
Tume huru ya uchaguziNi kitu gani unachokitaka ktk katiba mpya ambacho sasa hakipo?
Alitamka online TvKwahiyo vyombo vya habari ni online TV pekee?
Ya sasa sio huru? Haiko ktk katiba?Tume huru ya uchaguzi
Kwani Mama Samia amekuwa Chadema siku hizi? Huyo ni mwanaccm na anaitumikia nchi pitia CCM.Kinachofuata ni kutoa haya masalia yote ya fedhuli magufuli nje! Mama Samia atimue wote hawa
Yale mambo ya wathungu wa ubeligijiNi kitu gani unachokitaka ktk katiba mpya ambacho sasa hakipo?
Maskini Tanzania Daima!UFAFANUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.
Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
Tuna hasara tupu, hakuna rais hapa haki ya Mungu. She is unstable na hii watu wameshainyaka kuwa n mtu wa kuyumbishwaMsemaji wa serikali ametoa ufafanuzi kwamba kilichofunguliwa ni online TV na si Magazeti. Hi kauli Msigwa anadai imetoka kwa Mhe. Rais.
Mwenyekiti wa wazazi Wa ccm ametoka adharani nakusema Mhe. Rais apangiwi kuhusu katiba mpya. Maana ya kauli hii nimsimamo wa chama kuwa hakuna katiba mpya
Lakini haya yanatufundisha Nini? Endapo utahutubia Taifa watu wakakupongeza lakini viongoz wachache wanaokula mema ya nchi wakakasurika basi tambua Tanzania si ya Watanzania Tena Bali ni nchi ya watu wachache.
Hii trend imeturejesha kwenye maumivu Yale Yale, lakini pia mkinzano huu wa kauli una athari kwenye uchumi maana Kama ndani kwa wananchi ahadi zinabadilika je kwa wageni itakuwaje? Tusipothibiti hii Hali upo uwezekano wanaoitwa wawekezaji kuja nakuhamisha rasilimali zetu kuzipokeleka huko walipotoka. Tusicheze na mind za wananchi tutaliyumbisha Taifa, tutatengeneza wapigaji na kuondoa wazalendo
mataga nenda kajiue umkumbatie Jiwe huko aliko, maana naona mahaba yamezidi.Ya sasa sio huru? Haiko ktk katiba?
Binafsi style ya uongozi wa nchi kubwa (kilometa za mraba) kama Tanzania wanayotumia ccm haijawahi kunipa furaha. Gawa majimbo halafu hayo majimbo yashindane kimaendeleo.Msemaji wa serikali ametoa ufafanuzi kwamba kilichofunguliwa ni online TV na si Magazeti. Hi kauli Msigwa anadai imetoka kwa Mhe. Rais.
Mwenyekiti wa wazazi Wa ccm ametoka adharani nakusema Mhe. Rais apangiwi kuhusu katiba mpya. Maana ya kauli hii nimsimamo wa chama kuwa hakuna katiba mpya
Lakini haya yanatufundisha Nini? Endapo utahutubia Taifa watu wakakupongeza lakini viongoz wachache wanaokula mema ya nchi wakakasurika basi tambua Tanzania si ya Watanzania Tena Bali ni nchi ya watu wachache.
Hii trend imeturejesha kwenye maumivu Yale Yale, lakini pia mkinzano huu wa kauli una athari kwenye uchumi maana Kama ndani kwa wananchi ahadi zinabadilika je kwa wageni itakuwaje? Tusipothibiti hii Hali upo uwezekano wanaoitwa wawekezaji kuja nakuhamisha rasilimali zetu kuzipokeleka huko walipotoka. Tusicheze na mind za wananchi tutaliyumbisha Taifa, tutatengeneza wapigaji na kuondoa wazalendo
Mama samia! mama Samia! Unavyoona kuna tofauti? Huyo ni CCM boss, siyo vingine. Ikiwezekana timua wote! CCM yote nje ya uringo!Kinachofuata ni kutoa haya masalia yote ya fedhuli magufuli nje! Mama Samia atimue wote hawa