Yaani kukalia tu kiti cha Abbas nae amekuwa na akili fichu.UFAFANUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.
Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
Tuendelee na maombi sababu mwenye dhambi hana raha!Kama manyoka akina Abbas yapo basi hakuna jipya sasa nimewaelewa vizuri wale wanaosema ni suala la muda tu umagufuli utaendelea kama kawaida
Mtaweza kweli🤣🤣🤣,nendeni taratibu,kumbuka nafasi kapata baada ya kumuondoa mwendazakeKinachofuata ni kutoa haya masalia yote ya fedhuli magufuli nje! Mama Samia atimue wote hawa
Barua aliyopewa Msigwa kutoka ofisi ya Rais inayoelezea jambo hilo iko wapi ?UFAFANUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.
Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
Barua aliyopewa Msigwa kutoka ofisi ya Rais inayoelezea jambo hilo iko wapi ?
Tatizo mnakurupuka, Hamsomi nyakati halafu mnajisahau Sana, hamjui ccm ni ileile nawatu niwalewale [emoji1787]Huyu mama nilikua namtetea sn kwenye group letu kumbe nae chenga tu,ngoja nipige U-turn kumbe
ngoja na mm nianze kugeukaHuyu mama nilikua namtetea sn kwenye group letu kumbe nae chenga tu,ngoja nipige U-turn kumbe
Dawa tudai katiba mpya kwa nguvu zote ila ipo siku tu tutafanikiwa na CCm wataondoka madarakaniUFAFANUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.
Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
View attachment 1746013
"Msione macho yangu ya kulegea yanaona..."
Mama kumbe ulikuwa unatudanganya..
Abbas na Msigwa bado wa elements za mwamba yule sasa wasije wakalaumu baadaye.
Tulishasema kuwa sisi sio MaTaGa akifanya vizuri tunampongeza akijichanganya tunamueleza kwa stahaDuh jana mlikata mauno huku mkipiga ramli
Afisa kipenyo uchwara naona umekoma kututishia maisha sasa.Imekuaje tena? Kwahiyo Tanzania Daima halitafunguliwa?
Ile clip wakati Mh Rais Mama SSH anazungumza alisema vijiTV lakini hakusema TU.UFAFANUZI