Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

weka video ya maelekezo ya Rais tuondikane na uchochezi
 
Well Noted MKUU
 
Mh. ni muungwana sana unaangalia sawa vijana wakatafuta maisha na waliaminiwa angalau waendelee kumsaidia kumbe jamaa wana yao. Sometimes wanamfundisha mama Roho mbaya
 
Msemaji wa wizara ni waziri
Yeye Abbas kaongea kama nani?
Au bado anajiona msemaji wa serikali?
 
Samia ni replica ya meko.
Pure meko and dont trust her
 
Mtoa uzi kimsingi bado sijakuelewa, unapaswa kufafanua vizuri na kuweka wazi ni kitu gani alikisema huyo kigogo wa wizara
 
Suala la Abbas kutafsiri kauli ya Rais kuwa Magazeti sio vyombo vya habari imenisikitisha sana lakini Nimesikitika zaidi kuona RAIS. SAMIA SULUHU kaangukia kwenye mtego wa kuchukulia poa Viongozi kudharau na kubadilisha kauli zake jinsi wanavyotaka wao na yeye anaamua kufunika kombe kwa kufata mkumbo wa mtu aliebadilisha kauli zake.

Hakika ametuangusha mnoo kuamua kukubaliana na kauli ya Abbas na kwa hili napoteza Imani juu ya yeye kuamua na kutoa kauli za Amri kama Rais.

Kusema magazeti sio vyombo vya habari wakati nayo yalifungiwa kwa Sheria kandamizi inashangaza mnoo na hii ni kutaka kuaminisha watu Magazeti ni vyombo vya kupikia yani..[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

RAIS asicheke na watu wanaotaka kumpima Nguvu na uwezo wake wakidhani sababu ni mwanamke bhasi watabadilisha kauli na maamuzi yake jinsi wanavyotaka.



Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Mnajuaje kama walimuuliza na kujiridhisha kabla ya kufanya maamuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…