Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

weka video ya maelekezo ya Rais tuondikane na uchochezi
 
Mh Samia tulishamuonya bila kutimua hawa mamluki wa jiwe akawaacha wakajipanga atang'olewa yeye , ni lazima angejiuliza kwanini wote waliokuwa wanamuunga mkono jiwe wana nyumba Chato ? yaani kwanini walijenga nyumba za kufikia Chato ili hali si kwao ?
Well Noted MKUU
 
Mh Samia tulishamuonya bila kutimua hawa mamluki wa jiwe akawaacha wakajipanga atang'olewa yeye , ni lazima angejiuliza kwanini wote waliokuwa wanamuunga mkono jiwe wana nyumba Chato ? yaani kwanini walijenga nyumba za kufikia Chato ili hali si kwao ?
Mh. ni muungwana sana unaangalia sawa vijana wakatafuta maisha na waliaminiwa angalau waendelee kumsaidia kumbe jamaa wana yao. Sometimes wanamfundisha mama Roho mbaya
 
Msemaji wa wizara ni waziri
Yeye Abbas kaongea kama nani?
Au bado anajiona msemaji wa serikali?
 
Mtoa uzi kimsingi bado sijakuelewa, unapaswa kufafanua vizuri na kuweka wazi ni kitu gani alikisema huyo kigogo wa wizara
 
Suala la Abbas kutafsiri kauli ya Rais kuwa Magazeti sio vyombo vya habari imenisikitisha sana lakini Nimesikitika zaidi kuona RAIS. SAMIA SULUHU kaangukia kwenye mtego wa kuchukulia poa Viongozi kudharau na kubadilisha kauli zake jinsi wanavyotaka wao na yeye anaamua kufunika kombe kwa kufata mkumbo wa mtu aliebadilisha kauli zake.

Hakika ametuangusha mnoo kuamua kukubaliana na kauli ya Abbas na kwa hili napoteza Imani juu ya yeye kuamua na kutoa kauli za Amri kama Rais.

Kusema magazeti sio vyombo vya habari wakati nayo yalifungiwa kwa Sheria kandamizi inashangaza mnoo na hii ni kutaka kuaminisha watu Magazeti ni vyombo vya kupikia yani..[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

RAIS asicheke na watu wanaotaka kumpima Nguvu na uwezo wake wakidhani sababu ni mwanamke bhasi watabadilisha kauli na maamuzi yake jinsi wanavyotaka.

JamiiForums-1167958923.jpg


Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Suala la Abbas kutafsiri kauli ya Rais kuwa Magazeti sio vyombo vya habari imenisikitisha sana lakini Nimesikitika zaidi kuona RAIS. SAMIA SULUHU kaangukia kwenye mtego wa kuchukulia poa Viongozi kudharau na kubadilisha kauli zake jinsi wanavyotaka wao na yeye anaamua kufunika kombe kwa kufata mkumbo wa mtu aliebadilisha kauli zake...
Mnajuaje kama walimuuliza na kujiridhisha kabla ya kufanya maamuzi?
 
Back
Top Bottom