Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

Wewe kula kulala nani akutishie maisha? Watu wana deal na watu wa maana siyo wanaokaa kwa shemeji zao.
Enzi za uhai wa jiwe ungekuwa ushareply kunipoteza
Umekuwa wa bardiii
Haya rudi kijijini kwenu ukalime
Mwenge unaanza kukimbizwa,nitakupa ratiba urudi nao kama ulivyokuleta mjini.
 
Ndiyo maana wamemgomea Bi mkubwa kwenye issue ya vifurushi?😓
Kwa hiyo nchi haiendeshwi na Mama?!!

Jk Bora achukue nafasi tuuu.
 
Barua aliyopewa Msigwa kutoka ofisi ya Rais inayoelezea jambo hilo iko wapi ?
Subordinates huwa hawahitaji kupewa barua, ni kazi yao kutafsiri maagizo yake. Wewe na mimi hatuna nafasi ya kuhoji kwa sababu hakuna mtu wa kumhoji.
 
Aisee

Siajua kwa vile ni mama ,wanamdharau sana raisi wetu ..

Kitendo cha abas na msingwa kupinga kauli ya raisi wetu ni kuwapa confidence hadi watendaji wengine wa chini kuanza kupuuzia order za mh raisi ..

Muda si mrefu ,sitashangaa kuona hata ma RC na DC wakigomea hadharani matakwa ya raisi wetu ...

Mama samia unakaz kubwa sana ..

Na hivi mama anapenda kususa ,basi soon mtasikia anajihudhuru na uraisi ...

Nchi ngumu sana hii ..
 
Dawa ni katiba mpya tu haya maccm linapokuja swala la maslahi hua yanakua kitu kimoja
Hata hyo katib mpya ikija hwa jamaaa watakanyaga tu mnk hata hii ya sas inakiukwa tu na rai wetu Ni waoga kudai haki hyo ya msingi kbsa ktk nnchi
 
Kwahiyo Rais aliongea kiChina, halafu Msigwa ndio mkalimani, sio?

Wameuliza. Na watakuwa wamepitia na sheria na ndo Kumwambia mama unasemaje. Ndo msigwa kaja na jibu. Ila mnanipa raha sana. Zamani kidogo mngesema Msigwa au Abassi yeye mjumbe tu. Leo Wajumbe ndo wasemaji why. Mzimu JPM unaandama nafsi zenu. JPM amekufa. We are dealing now with our new Madam President/ Präsidentin. Tulieni.
 
Abbas na Msigwa bado wa elements za mwamba yule sasa wasije wakalaumu baadaye.
Magazeti tu! Ndo yanakufanya ulalame kiasi hiki? Mbona husomi vitabu? Ulitakiwa kuijua CCM na kamati zake. sasa kama hadi umri huu wa JF bado huijui CCM, serikali na system za utawala, una mapungufu. Jitahidi sana kuinua akili.
 
UFAFANUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.

Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
Udhaifu wa rais samia unaendelea kujionesha kabla hata hajamaliza hata mwez mmoja. Huyu mama kuna uwezekano mkubwa akatawala hadi 2025 tuuuuu.
 
Wameuliza. Na watakuwa wamepitia na sheria na ndo Kumwambia mama unasemaje. Ndo msigwa kaja na jibu. Ila mnanipa raha sana. Zamani kidogo mngesema Msigwa au Abassi yeye mjumbe tu. Leo Wajumbe ndo wasemaji why. Mzimu JPM unaandama nafsi zenu. JPM amekufa. We are dealing now with our new Madam President/ Präsidentin. Tulieni.
Hawa toxin wa jiwe awakutakiwa kabisa kupewa nafasi.Mentality zao bado zimefungwa na falsafa za jiwe.
 
UFAFANUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.

Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
Tufungulieni Twitter please. Hatuna VPN. Bando zimepanda bei tusizipoteze Kwa Facebook na Insta.
 
Back
Top Bottom