Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hadi wewe mtu wajikoni haujui?! Mi mwenyewe sijui hata....ccm mna mambo nyieNi tv zipi kwanza mie hata sikujua kama kuna tv zilifungiwa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi wewe mtu wajikoni haujui?! Mi mwenyewe sijui hata....ccm mna mambo nyieNi tv zipi kwanza mie hata sikujua kama kuna tv zilifungiwa....
Yafungulieni na Magazeti jamaniUFAFANUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.
Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
Hawa wasaidizi wa Mh Rais ndio walio fungia hivi vyombo vya habari. Hawakufurahia tamko la jana. Hivyo wanetafuta njia mzunguko kumkwamisha mama.UFAFANUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.
Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
Msemaji wa serikali ametoa ufafanuzi kwamba kilichofunguliwa ni online TV na si Magazeti. Hi kauli Msigwa anadai imetoka kwa Mhe. Rais.
Mwenyekiti wa wazazi Wa ccm ametoka adharani nakusema Mhe. Rais apangiwi kuhusu katiba mpya. Maana ya kauli hii nimsimamo wa chama kuwa hakuna katiba mpya
Lakini haya yanatufundisha Nini? Endapo utahutubia Taifa watu wakakupongeza lakini viongoz wachache wanaokula mema ya nchi wakakasurika basi tambua Tanzania si ya Watanzania Tena Bali ni nchi ya watu wachache.
Hii trend imeturejesha kwenye maumivu Yale Yale, lakini pia mkinzano huu wa kauli una athari kwenye uchumi maana Kama ndani kwa wananchi ahadi zinabadilika je kwa wageni itakuwaje? Tusipothibiti hii Hali upo uwezekano wanaoitwa wawekezaji kuja nakuhamisha rasilimali zetu kuzipokeleka huko walipotoka. Tusicheze na mind za wananchi tutaliyumbisha Taifa, tutatengeneza wapigaji na kuondoa wazalendo
Amegeuka 360°,haya bwana.UFAFANUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.
Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
HahahHuyu mama aanze kujiangalia watanzania hatuwezi kukubali upuuzi wa kufungia baadhi ya magazeti kwa sababu za kisiasa.
Mbona Hii ilikuwa clear toka mwanzo?! Mainstream media ndizo zilizoingiza ushabiki katika kutangaza lakini Rais alikuwa clear
Hao Abbas na Msigwa ni wapuuzi. Rais alitamka kuwa "Kuna vyombo vya habari vimefungiwa....sijui hivyo vi tv vya mkononi. Vifungulieni" Sasa wao wanaleta ujuaji ngoja waone.
Yani Rais alimaanisha vyombo vyote vya habari. Gerson na Abbas waelewe kuwa Jiwe lao halipo tena ooohooo!

Ungesema tu hufahamu hakukua na haja ya mipasho....Hadi wewe mtu wajikoni haujui?! Mi mwenyewe sijui hata....ccm mna mambo nyie
Wewe upotezwe kwa lipi? Wakati ni utopolo tuu...! Sisi tunaendelea kupigakazi na kula raha zetu wewe endelea na utopolo wako tu.Enzi za uhai wa jiwe ungekuwa ushareply kunipoteza
Umekuwa wa bardiii
Haya rudi kijijini kwenu ukalime
Mwenge unaanza kukimbizwa,nitakupa ratiba urudi nao kama ulivyokuleta mjini.
Tatizo bavicha mnataka mawazo yenu ndio yawe msimamo wa selikali.Kwahio waliomsikia ni Msigwa na Abbas peke yao? Magazeti yote leo Tanzania yameripoti tofauti na Abas na huyu Msigwa. Wallah CCM ni ile ile
Mtaimba nyimbo zote mwaka huu!Kinachofuata ni kutoa haya masalia yote ya fedhuli magufuli nje! Mama Samia atimue wote hawa
Wewe ni mpumbavu!Hao wapuuzi wawili ni mataga wakuu ambao mpaka sasa akili zao hazijakubali kuwa jiwe limeisha.