IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Kwani wewe ulikuwa na matumaini gani kwa Rais Samia? Ulifikiri tz daima watarejea na udaku wao tena?Kumbe nay bure, hamna kitu hapa ni mwendo wa Jiwe. kazi tunayo haki ya mungu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe ulikuwa na matumaini gani kwa Rais Samia? Ulifikiri tz daima watarejea na udaku wao tena?Kumbe nay bure, hamna kitu hapa ni mwendo wa Jiwe. kazi tunayo haki ya mungu!
Binafsi naona sisi kama taifa tunajadili vihoja vyepesi sana, hizo online tv a.k.a youtube channels l, vifurushi vya data, CV za waliopewa dhamana n.k ni hoja ndogo sana...
Kamfichia aibu subordinate wake, for sure soon atatoa tena tamko la kufungulia vyombo vya habari kifasaha zaidi ingawa tamko lake kwangu mimi niliona limelenga vyombo vyote na Online TVs zilikuwa mfano. Aliposema Vi TV na ile Vifunguliwe...
😂😂😂 Tabia ya yatima hiyo hata ukisemeshwa unajihisi unaonewaUngesema tu hufahamu hakukua na haja ya mipasho....
Naona sasa hivi mmechukua nafasi ya praise team ya ccmAbbas na Msigwa bado wa elements za mwamba yule sasa wasije wakalaumu baadaye.
Kama atafungulia TV tu na kuacha vyombo vingine atakuwa Hana akili ya kujiongeza. Lengo la Rais ni kukwepa lawama kuwa anazuia uhuru wa Habari, uhuru wa Habari sio TV tu.UFAFANUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.
Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
Msigwa ni msemaji wa selikali, yani ni mdomo wa Samia na selikali yote sasa wewe unapinga kipiHao Abbas na Msigwa ni wapuuzi. Rais alitamka kuwa "Kuna vyombo vya habari vimefungiwa....sijui hivyo vi tv vya mkononi. Vifungulieni" Sasa wao wanaleta ujuaji ngoja waone.
Yani Rais alimaanisha vyombo vyote vya habari. Gerson na Abbas waelewe kuwa Jiwe lao halipo tena ooohooo!
Mbona na Waziri wa Habari Bashungwa naye kasema hivyo hivyo? Inamaana wote hawakumuelewa?Naona washalishana sumu na Abbas