Gerson Msigwa: Uwanja Mpya wa Mpira Utakojengwa Arusha Utaitwa Samia Suluhu Hassan Stadium

Hela zetu mtu anajipachika jina!!!🙆🙆
 
Umebatizwa kwa jina lake kwa kulazimisha baada ya yeye B. W. Mkapa kufariki dunia, lakini yeye mwenyewe kwa kinywa chake alikataa kabisa wakati akiwa hai.
sio kweli tusipotoshane! Huu uwanja toka umeisha umeitwa kwa jina hilo,labda Kama hujawahi kufika pale
mlango mkuu wa pale Main Stand umeandikwa Benjamin Mkapa stadium since wachina wameujenga! na hata kwenye google ulikuwa ukisomeka mkapa stadium pia,sema tu jina limekuja kurasimishwa rasmi na JPM
 
Hivi kuna obama stadium au donald trump stadium?
hayo yapo Afrika tu,ndio utakuta Moi kasarani stadium sijui, Leopold Senghor stadium sijui, Paul Biya stadium,Allasane Outtara stadium,Felix Heuphoit Boigny, Nelson Mandela stadium
Tena ni kusini mwa jangwa la Sahara ndio imeota mizizi ila ulaya na Marekani huwezi kukuta hiyo!
 
Iundwe sheria ya ku-name mali za serikali sasa mana huu ujinga kujiamulia tu baada ya kushiba maharage
 
Daraja la Magufuli, Magufuli City Mji wa Serikali,Stendi ya Magufuli nk nk.

Yaani ajenge mwingine harafu jina aitwe ambae hakujenga? Wewe unaona inaingia akilini? Majina yanatolewa kutunza historia na mchango wa viongozi
kwani uwanja wa ali hassan mwinyi alijenga yeye? au uwanja wa sokoine huko songea alijenga sokoine?
 
kwani uwanja wa ali hassan mwinyi alijenga yeye? au uwanja wa sokoine huko songea alijenga sokoine?
Hakuna logic ya kutunza kumbuka ya Viongozi Kwa mambo ambayo hawakufanya.

Vyovyote iwavyo lazima Kuna ushiriki wao wa namna Moja au nyingine.Maana ukiniuliza vitu hajufanya unaita majina yake Ili iwaje Sina majibu.

Mwisho Kila mtu na mtizamo wake tunaweza kukubali kutokubaliana.
 
Waupe tu jina lolote la msingi huo uwanja ujengwe maana kuna watu weshapoteza pesa kushika maeneo karibu na hapo.

Isije ikawa kama ile ya stand ya huko huko Arusha, watu tunashika maeneo tukisubiri uwekezaji na sisi tuwekeze halafu mnabishana bishana na kubadili maeneo mpaka leo stand haipo.
 
over!
 
Kwahiyo hata ukiitwa maasaai kuna umuhimu ama ubaya gani? mnaacha kuwaza maendeleo mnawaza upuuzi tu na uchawa.
 
Kwahiyo hata ukiitwa maasaai kuna umuhimu ama ubaya gani? mnaacha kuwaza maendeleo mnawaza upuuzi tu na uchawa.
Kuitwa maasai ndio maendeleo? Nani mpuuzi wewe au wanaojenga? Basi Utaitwa jina lako ndio maendeleo
 
Kuitwa maasai ndio maendeleo? Nani mpuuzi wewe au wanaojenga? Basi Utaitwa jina lako ndio maendeleo
wewe ndio kiazi mbatata kwahiyo majina ndio yataleta maendeleo? mimi hujanielewa mbwiga wewe namaanisha hakuna chochote uitwe hata jina la babaako, watu wanawaza vitu vya maana sio upupu, watu wanateseka na njaa ripoti zinasema umasikini unaongezeka wewe wa buku jero za kusifia wala huoni kenge wewe.
 
We mpumbavu Samia ndio aje akulimie Ili wewe usiwe na njaa?

Kujenga uwanja sio maendeleo? Fala mkubwa unanipotezea mda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…