Gerson Msigwa: Uwanja Mpya wa Mpira Utakojengwa Arusha Utaitwa Samia Suluhu Hassan Stadium

Stendi ya Magufuli
 
Utajengwa pale pale Sheik Amri Abeid au eneo lingine? na kama ni Pale pale Si uitwe Jina hilo hilo ila liongezewe neno New Sheik Amri Abeid?

Tuwaenzi hawa waasisi hata kwa Style hii, kama sio wao tusingefika tulipo au tungekuwa mbali zaid kuliko tulipo. Tulivyo ni Jitihada zao au uzembe wao.
 
Wewe ni MUONGO, nasikitika kukuita hivyo lakini nimelazimika kwa sababu hakuna jina lingine unalostahili kuitwa nalo.
Ule Uwanja ulipokamilika tu kujengwa uliitwa kwa jina la Uwanja wa Taifa (National Stadium). Kulikuwa na mjadala mkubwa kuhusu jina la kuubatiza uwanja huo, watu wengi walipendekeza jina la B.W. Mkapa wakati huo, ndipo Rais B. W. Mkapa alijitokeza na kukataa uwanja huo uitwe kwa jina lake. Badala yake alipendekeza uitwe kwa jina la Uwanja wa Taifa, na uliitwa hivyo wakati huo hadi alipofariki dunia ndipo Rais Magufuli aliubadilisha jina na kuwa Uwanja wa B. W. Mkapa.
 
Hivyo ndivyo vitu viongozi wetu wanavyowaza, ubinafsi.
 
Naam wazo zuri.
 
mm muongo ila Wewe nasikitika kusema u mpumbavu,uwanjani hujawahi kwenda na unaelimishwa kisha unang'ang'ania
Sasa yale Maneno ya Pale kwenye mlango mkuu uwanjani nasema uongo hayakuwepo uwanjani?
stupidity to the highest order
 
Jina la mme wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Abdul ni mwanawe lakini kwakuwa inaonekana viongozi wa nchi hii wanapenda utukufu wagawane tu majina ya vitu vya umma kwa kutumia majina ya familia zao.
 
Kwanini wasiseme Samia atoa $286m kujenga Uwanja wa Dr Samia Suluhu Hassan , badala ya kusema sirikali imetoa . Maana tunaambiwa madarasa, madaraka , yamefanyika sababu Mama ametoa
 
Kwanini wasiseme Samia atoa $286m kujenga Uwanja wa Dr Samia Suluhu Hassan , badala ya kusema sirikali imetoa . Maana tunaambiwa madarasa, madaraka , yamefanyika sababu Mama ametoa
Ukisema wewe inatosha
 
Abdul ni mwanawe lakini kwakuwa inaonekana viongozi wa nchi hii wanapenda utukufu wagawane tu majina ya vitu vya umma kwa kutumia majina ya familia zao.
Hii hulka watanzania wengi tunayo, si viongozi tu. Tazama majina mitaa iliyopewa kwenye mpango wa vibao vya mitaa. Si nadra kukuta mtaa umebatizwa jina la mmoja wa wakazi wake, mara nyingi mwenye nguvu.
 
Uitwe Arusha stadium au Serengeti arena. Tusipoteze utamaduni ya sehemu husika Kwa maeneo mengi kujaa majina ya wanasiasa.
Kwa mkapa inatosha. Ina maana na mwanza wakijenga uitwe magufuli? Wanasiasa toshekeni na Barabara zilizojaa majina yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…