Gervonta Davis abadili dini na kuwa Muislamu siku ya leo

Umetia
Uislamu unasema kitimoto ni haram

Uislamu unasema tattoo ni haram

Lakini mtu mwenye tattoo anayetoka dini nyingine anakaribishwa vizuri kwenye uislamu. Na zile story za tattoo haram hutazisikia tena.

Mnaruhusuje mtu haramu aje kuinajisi dini?

Au hizo tattoo mtazifuta?

Mike Tyson naye alisilimu na ana tattoo kubwa kwenye jicho mbali na hilo ana project yake ya kutengeneza pipi za sikio zenye kionjo cha ganja yani bangi na kaifanya juzi hapo akiwa bado muslamu.

Bado mtasema dini yenu haichezewi?

Kesho akisilimu shoga mtakuja tena humu kupost kama ishara ya uislamu kukubalika?

Anyway haiwezi kuwa story kubwa kwasababu alisha silimu Lodovic Mohamed Zahed ambaye ni homosexual na ni mpigania haki za LGBT

Wote wa kina Imam Daayiee Abdullah huyu naye alikuwa mkristo aliyebatizwa kabisa nakumbuka hadi Al Jeezera waliwahi kuandika habari yake

Huyu pia naye ni shoga na anaongoza waumini msikitini.

Inatakiwa ujivunie pia na huyu kwa kuukubali uislamu.

Ukimkataa huyu au ukaona hafai kumtumia kujivunia kwakuona anauchafua uislamu kwakua anafanya jambo ambalo dini imekataza, basi unatakiwa uwe na misimamo hiyo hiyo na kwa hao wenye tattoo na wavuta ganja
Inshort hakuna sehemu kwny uislam unasema

Ukimkataa huyu au ukaona hafai kumtumia kujivunia kwakuona anauchafua uislamu kwakua anafanya jambo ambalo dini imekataza, basi unatakiwa uwe na misimamo hiyo hiyo na kwa hao wenye tattoo na wavuta ganja.
unasema tabaka fulani au mtu asisilimu kutokana sifa yake mbaya..mfano kipindi cha Mtume Muhammad (S.AW)..kuna watu walisimu wakiwa walifanyia unyama mauji makubwa waislam..mfano Omar bin khatab (R.A.)..qmbaye baadaye alikuja kuwa khalifa wa pili katika uislamu alikua katili kweli kweli kwa waislam ...jambo jema unaposilimu dhambi zako zote unasamehewa..kwa mfano Tank hapo atokee shekhe aseme haiwezekani awe muislam sababu ana Tattoo kwa kigezo kipi?..hakuna au Tyson sio muislam kwa vitendo vyake kwa kigezo kipi hata huyo shoga...mnachoshndwa kuelewa wagalatia sie waislam tunaamini siku ya mwsh Akhera..Allah ndo mwny kuhukumu..asa sahv waislam tuwe na taharuki na Tyson kwa kipi?...ukitaka waislam wawe na taharuki utoe matamko ya kiimani tofauti hapo hakuna ataye kaa kimya..tofauti na daily...mnaoteshwa kuongea na Yesu matamko ya kiimani hayaishi...Juzi tuu hapa Manabii kutoka Marekani wamesema wanaona status za Yesu...how come namna hii kutoa matamshi ya imani?..na hii ndo tofauti yenu na yetu.
 
Bado havijafanya uislam uwe sio imani ya ambayo haina shaka..sasa nikuulize swali..Imani ya dini inakataza haikatazi?
Vinamkataza nani sasa kama Waislamu wenyewe wamevigomea? Na watu wapo kwenye foleni ya kuukimbia kwa jinsi wanavyotafuta fursa za kuzikimbia hizo nchi za Kiislam?
 
Kitu rahisi tuu unashndw kutofautisha imani na maisha ya mtu binafsi uislamu umekataza vyote lkn weeh unafanya..nani atakuhumu?..ni Allah mwnyw ndo mwny kuhukumu..ukitaka kuukera uislam weeh toa matamko tofauti na vilivyo andikwa..hapo hakuna muislam atakaye kaa kimyaa..yani mfano kama juzi walivyokuja manabii wenu marasta wamevaa vinjuga eti wanaona status za Yesu...Wallah waislam tusinge waacha....au wewe imani yako inaruhusu kamari mwenzetu?
 
Vinamkataza nani sasa kama Waiskamu wenyewe wamevigomea? Na watu wapo kwenye foleni ya kuukimbia kwa jinsi wanavyotafuta fursa za kuzikimbia hizo nchi za Kiislam?
Uislamu haujengwi na nchi ndugu yangu weeh fanya vyote vilivyokatazwa lkn mwny hukumu ni Allah...weeh ukitaka kuukera uislam njoo na matamko ya ajabu..kama wale marasta wanaotazama status za yesu
 
Umetia
Uislamu unasema kitimoto ni haram

Uislamu unasema tattoo ni haram

Lakini mtu mwenye tattoo anayetoka dini nyingine anakaribishwa vizuri kwenye uislamu. Na zile story za tattoo haram hutazisikia tena.

Mnaruhusuje mtu haramu aje kuinajisi dini?

Au hizo tattoo mtazifuta?

Mike Tyson naye alisilimu na ana tattoo kubwa kwenye jicho mbali na hilo ana project yake ya kutengeneza pipi za sikio zenye kionjo cha ganja yani bangi na kaifanya juzi hapo akiwa bado muslamu.

Bado mtasema dini yenu haichezewi?

Kesho akisilimu shoga mtakuja tena humu kupost kama ishara ya uislamu kukubalika?

Anyway haiwezi kuwa story kubwa kwasababu alisha silimu Lodovic Mohamed Zahed ambaye ni homosexual na ni mpigania haki za LGBT

Wote wa kina Imam Daayiee Abdullah huyu naye alikuwa mkristo aliyebatizwa kabisa nakumbuka hadi Al Jeezera waliwahi kuandika habari yake

Huyu pia naye ni shoga na anaongoza waumini msikitini.

Inatakiwa ujivunie pia na huyu kwa kuukubali uislamu.

Ukimkataa huyu au ukaona hafai kumtumia kujivunia kwakuona anauchafua uislamu kwakua anafanya jambo ambalo dini imekataza, basi unatakiwa uwe na misimamo hiyo hiyo na kwa hao wenye tattoo na wavuta ganja

Alibadili Mike Tyson, Jose Chameleone, Cassius Clay na leo tupo hapa
Usifuate dini kwa mkumbo wa mtu..dini ni imani ..mfano hawa manabii marasta si kuna watu wamewaamini kwa misingi ya imani au walilazimishwa?
 
Unaja pia kwenye nchi za kiislam kuna ongezeko kubwa sana la Apostles yaani kutoka kwenye uilsamu kwenda kwenye ukristo hii niliona Al Jazeera sema ukigundulika tu adhabu yake ni kifo kama sikosei ndio maana wengi wanabadili kimya kimya sababu ya sheria ya kiisam
 
Uislamu unasema kitimoto ni haram

Uislamu unasema tattoo ni haram

Lakini mtu mwenye tattoo anayetoka dini nyingine anakaribishwa vizuri kwenye uislamu. Na zile story za tattoo haram hutazisikia tena.

Mnaruhusuje mtu haramu aje kuinajisi dini?

Au hizo tattoo mtazifuta?

Mike Tyson naye alisilimu na ana tattoo kubwa kwenye jicho mbali na hilo ana project yake ya kutengeneza pipi za sikio zenye kionjo cha ganja yani bangi na kaifanya juzi hapo akiwa bado muslamu.

Bado mtasema dini yenu haichezewi?

Kesho akisilimu shoga mtakuja tena humu kupost kama ishara ya uislamu kukubalika?

Anyway haiwezi kuwa story kubwa kwasababu alisha silimu Lodovic Mohamed Zahed ambaye ni homosexual na ni mpigania haki za LGBT

Wote wa kina Imam Daayiee Abdullah huyu naye alikuwa mkristo aliyebatizwa kabisa nakumbuka hadi Al Jeezera waliwahi kuandika habari yake

Huyu pia naye ni shoga na anaongoza waumini msikitini.

Inatakiwa ujivunie pia na huyu kwa kuukubali uislamu.

Ukimkataa huyu au ukaona hafai kumtumia kujivunia kwakuona anauchafua uislamu kwakua anafanya jambo ambalo dini imekataza, basi unatakiwa uwe na misimamo hiyo hiyo na kwa hao wenye tattoo na wavuta ganja.
Umempiga FaizaFoxy na Hance Mtanashati kwa kitu kizito mno
 
Kitu kikiwa kwny vyombo vya habari sio siri tena..kama humu naona mnashndw kutofautisha misingi ya dini na sheria za nchi..mfano hapo Zanzibar tuu mwezi mtukufu migahawa inafungwa yote ni amri ya nchi lkn sio dini..mfano muislam akisilimu mana'ke umeritadi..mana'ke umemkataa mtume na mwenyezimungu hivo hukumu yako kwnz ni motoni..na huwezi kurudi ktk uislam hata hapo baadaye
 
Uislamu haujengwi na nchi ndugu yangu weeh fanya vyote vilivyokatazwa lkn mwny hukumu ni Allah...weeh ukitaka kuukera uislam njoo na matamko ya ajabu..kama wale marasta wanaotazama status za yesu
Acha kujidanganya kwamba eti Uislam haujengwi na nchi.
Uislam unategemea uwepo wa nchi, bila nchi hizo uislam duniani unafutika kesho tu. Ni nchi hizo ukisikia Koran imechomwa moto zinafukuza au kuwaita kujieleza mabalozi wa nchi ambazo tukio hilo limefanyika.
Uislam unapumulia mirija ya Saudia, Iran, Qatar na nchi nyingine za aina hiyo. Bila hizo nchi uislam unafutika. So acheni kudanganyana ni bora muukubali ukweli muijenge dini yenu iwe huru bila kutegemea support za mataifa hayo.
 
Umempiga FaizaFoxy na Hance Mtanashati kwa kitu kizito mno
Hakuna kitu kizito hapo weeh ukristo unakurusu uchore tattoo...nakusisitiza ukitaka kuukera uislam weeh njoo na matamko ya ajabu kama wale manabii wenu waliotoka Marekani wanasema wanaona status za Yesu daily...uislam hautaki ujinga huo..na wala uislam haudili na maisha binafsi ya mtu
 
Uislamu unasema kitimoto ni haram

Uislamu unasema tattoo ni haram

Lakini mtu mwenye tattoo anayetoka dini nyingine anakaribishwa vizuri kwenye uislamu. Na zile story za tattoo haram hutazisikia tena.

Mnaruhusuje mtu haramu aje kuinajisi dini?

Au hizo tattoo mtazifuta?

Mike Tyson naye alisilimu na ana tattoo kubwa kwenye jicho mbali na hilo ana project yake ya kutengeneza pipi za sikio zenye kionjo cha ganja yani bangi na kaifanya juzi hapo akiwa bado muslamu.

Bado mtasema dini yenu haichezewi?

Kesho akisilimu shoga mtakuja tena humu kupost kama ishara ya uislamu kukubalika?

Anyway haiwezi kuwa story kubwa kwasababu alisha silimu Lodovic Mohamed Zahed ambaye ni homosexual na ni mpigania haki za LGBT

Wote wa kina Imam Daayiee Abdullah huyu naye alikuwa mkristo aliyebatizwa kabisa nakumbuka hadi Al Jeezera waliwahi kuandika habari yake

Huyu pia naye ni shoga na anaongoza waumini msikitini.

Inatakiwa ujivunie pia na huyu kwa kuukubali uislamu.

Ukimkataa huyu au ukaona hafai kumtumia kujivunia kwakuona anauchafua uislamu kwakua anafanya jambo ambalo dini imekataza, basi unatakiwa uwe na misimamo hiyo hiyo na kwa hao wenye tattoo na wavuta ganja.
Chuma hicho...sasa hivi Waislam wanakiabudu. Hawaachi kukitaja kwenye Mafundisho yao kama succwss story. Wakati chenyewe kikiwa pande zile kinapiga allah akbar, kikiwa pande zingine kinakwambia Rastafari Haile
 
Uislam bila kuchija watu wake wanao hama kwenda kuwa wakristo ni mda Sana hii dini ilishafutika.
 
Back
Top Bottom