Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inshort hakuna sehemu kwny uislam unasemaUislamu unasema kitimoto ni haram
Uislamu unasema tattoo ni haram
Lakini mtu mwenye tattoo anayetoka dini nyingine anakaribishwa vizuri kwenye uislamu. Na zile story za tattoo haram hutazisikia tena.
Mnaruhusuje mtu haramu aje kuinajisi dini?
Au hizo tattoo mtazifuta?
Mike Tyson naye alisilimu na ana tattoo kubwa kwenye jicho mbali na hilo ana project yake ya kutengeneza pipi za sikio zenye kionjo cha ganja yani bangi na kaifanya juzi hapo akiwa bado muslamu.
Bado mtasema dini yenu haichezewi?
Kesho akisilimu shoga mtakuja tena humu kupost kama ishara ya uislamu kukubalika?
Anyway haiwezi kuwa story kubwa kwasababu alisha silimu Lodovic Mohamed Zahed ambaye ni homosexual na ni mpigania haki za LGBT
Wote wa kina Imam Daayiee Abdullah huyu naye alikuwa mkristo aliyebatizwa kabisa nakumbuka hadi Al Jeezera waliwahi kuandika habari yake
Huyu pia naye ni shoga na anaongoza waumini msikitini.
Inatakiwa ujivunie pia na huyu kwa kuukubali uislamu.
Ukimkataa huyu au ukaona hafai kumtumia kujivunia kwakuona anauchafua uislamu kwakua anafanya jambo ambalo dini imekataza, basi unatakiwa uwe na misimamo hiyo hiyo na kwa hao wenye tattoo na wavuta ganja
unasema tabaka fulani au mtu asisilimu kutokana sifa yake mbaya..mfano kipindi cha Mtume Muhammad (S.AW)..kuna watu walisimu wakiwa walifanyia unyama mauji makubwa waislam..mfano Omar bin khatab (R.A.)..qmbaye baadaye alikuja kuwa khalifa wa pili katika uislamu alikua katili kweli kweli kwa waislam ...jambo jema unaposilimu dhambi zako zote unasamehewa..kwa mfano Tank hapo atokee shekhe aseme haiwezekani awe muislam sababu ana Tattoo kwa kigezo kipi?..hakuna au Tyson sio muislam kwa vitendo vyake kwa kigezo kipi hata huyo shoga...mnachoshndwa kuelewa wagalatia sie waislam tunaamini siku ya mwsh Akhera..Allah ndo mwny kuhukumu..asa sahv waislam tuwe na taharuki na Tyson kwa kipi?...ukitaka waislam wawe na taharuki utoe matamko ya kiimani tofauti hapo hakuna ataye kaa kimya..tofauti na daily...mnaoteshwa kuongea na Yesu matamko ya kiimani hayaishi...Juzi tuu hapa Manabii kutoka Marekani wamesema wanaona status za Yesu...how come namna hii kutoa matamshi ya imani?..na hii ndo tofauti yenu na yetu.Uislamu unasema kitimoto ni haram
Uislamu unasema tattoo ni haram
Lakini mtu mwenye tattoo anayetoka dini nyingine anakaribishwa vizuri kwenye uislamu. Na zile story za tattoo haram hutazisikia tena.
Mnaruhusuje mtu haramu aje kuinajisi dini?
Au hizo tattoo mtazifuta?
Mike Tyson naye alisilimu na ana tattoo kubwa kwenye jicho mbali na hilo ana project yake ya kutengeneza pipi za sikio zenye kionjo cha ganja yani bangi na kaifanya juzi hapo akiwa bado muslamu.
Bado mtasema dini yenu haichezewi?
Kesho akisilimu shoga mtakuja tena humu kupost kama ishara ya uislamu kukubalika?
Anyway haiwezi kuwa story kubwa kwasababu alisha silimu Lodovic Mohamed Zahed ambaye ni homosexual na ni mpigania haki za LGBT
Wote wa kina Imam Daayiee Abdullah huyu naye alikuwa mkristo aliyebatizwa kabisa nakumbuka hadi Al Jeezera waliwahi kuandika habari yake
Huyu pia naye ni shoga na anaongoza waumini msikitini.
Inatakiwa ujivunie pia na huyu kwa kuukubali uislamu.
Ukimkataa huyu au ukaona hafai kumtumia kujivunia kwakuona anauchafua uislamu kwakua anafanya jambo ambalo dini imekataza, basi unatakiwa uwe na misimamo hiyo hiyo na kwa hao wenye tattoo na wavuta ganja.
Vinamkataza nani sasa kama Waislamu wenyewe wamevigomea? Na watu wapo kwenye foleni ya kuukimbia kwa jinsi wanavyotafuta fursa za kuzikimbia hizo nchi za Kiislam?Bado havijafanya uislam uwe sio imani ya ambayo haina shaka..sasa nikuulize swali..Imani ya dini inakataza haikatazi?
Zakir Naik - Islam is the Fastest Growing Religion in the WorldMtu kubadili Dini ni story? Kanisani kwetu kwa mwezi si chini ya Muslims 4-7 wanajoin Kanisani,na mpaka sasa wanadarasa lao si chini ya 20 wanafundishwa ukristo ni nini,huwa nawashangaa Muslims mtu akijoin kwao inakuwa big story 😀😀
Uislamu haujengwi na nchi ndugu yangu weeh fanya vyote vilivyokatazwa lkn mwny hukumu ni Allah...weeh ukitaka kuukera uislam njoo na matamko ya ajabu..kama wale marasta wanaotazama status za yesuVinamkataza nani sasa kama Waiskamu wenyewe wamevigomea? Na watu wapo kwenye foleni ya kuukimbia kwa jinsi wanavyotafuta fursa za kuzikimbia hizo nchi za Kiislam?
Uislamu unasema kitimoto ni haram
Uislamu unasema tattoo ni haram
Lakini mtu mwenye tattoo anayetoka dini nyingine anakaribishwa vizuri kwenye uislamu. Na zile story za tattoo haram hutazisikia tena.
Mnaruhusuje mtu haramu aje kuinajisi dini?
Au hizo tattoo mtazifuta?
Mike Tyson naye alisilimu na ana tattoo kubwa kwenye jicho mbali na hilo ana project yake ya kutengeneza pipi za sikio zenye kionjo cha ganja yani bangi na kaifanya juzi hapo akiwa bado muslamu.
Bado mtasema dini yenu haichezewi?
Kesho akisilimu shoga mtakuja tena humu kupost kama ishara ya uislamu kukubalika?
Anyway haiwezi kuwa story kubwa kwasababu alisha silimu Lodovic Mohamed Zahed ambaye ni homosexual na ni mpigania haki za LGBT
Wote wa kina Imam Daayiee Abdullah huyu naye alikuwa mkristo aliyebatizwa kabisa nakumbuka hadi Al Jeezera waliwahi kuandika habari yake
Huyu pia naye ni shoga na anaongoza waumini msikitini.
Inatakiwa ujivunie pia na huyu kwa kuukubali uislamu.
Ukimkataa huyu au ukaona hafai kumtumia kujivunia kwakuona anauchafua uislamu kwakua anafanya jambo ambalo dini imekataza, basi unatakiwa uwe na misimamo hiyo hiyo na kwa hao wenye tattoo na wavuta ganja
Usifuate dini kwa mkumbo wa mtu..dini ni imani ..mfano hawa manabii marasta si kuna watu wamewaamini kwa misingi ya imani au walilazimishwa?Alibadili Mike Tyson, Jose Chameleone, Cassius Clay na leo tupo hapa
Umempiga FaizaFoxy na Hance Mtanashati kwa kitu kizito mnoUislamu unasema kitimoto ni haram
Uislamu unasema tattoo ni haram
Lakini mtu mwenye tattoo anayetoka dini nyingine anakaribishwa vizuri kwenye uislamu. Na zile story za tattoo haram hutazisikia tena.
Mnaruhusuje mtu haramu aje kuinajisi dini?
Au hizo tattoo mtazifuta?
Mike Tyson naye alisilimu na ana tattoo kubwa kwenye jicho mbali na hilo ana project yake ya kutengeneza pipi za sikio zenye kionjo cha ganja yani bangi na kaifanya juzi hapo akiwa bado muslamu.
Bado mtasema dini yenu haichezewi?
Kesho akisilimu shoga mtakuja tena humu kupost kama ishara ya uislamu kukubalika?
Anyway haiwezi kuwa story kubwa kwasababu alisha silimu Lodovic Mohamed Zahed ambaye ni homosexual na ni mpigania haki za LGBT
Wote wa kina Imam Daayiee Abdullah huyu naye alikuwa mkristo aliyebatizwa kabisa nakumbuka hadi Al Jeezera waliwahi kuandika habari yake
Huyu pia naye ni shoga na anaongoza waumini msikitini.
Inatakiwa ujivunie pia na huyu kwa kuukubali uislamu.
Ukimkataa huyu au ukaona hafai kumtumia kujivunia kwakuona anauchafua uislamu kwakua anafanya jambo ambalo dini imekataza, basi unatakiwa uwe na misimamo hiyo hiyo na kwa hao wenye tattoo na wavuta ganja.
Kitu kikiwa kwny vyombo vya habari sio siri tena..kama humu naona mnashndw kutofautisha misingi ya dini na sheria za nchi..mfano hapo Zanzibar tuu mwezi mtukufu migahawa inafungwa yote ni amri ya nchi lkn sio dini..mfano muislam akisilimu mana'ke umeritadi..mana'ke umemkataa mtume na mwenyezimungu hivo hukumu yako kwnz ni motoni..na huwezi kurudi ktk uislam hata hapo baadayeUnaja pia kwenye nchi za kiislam kuna ongezeko kubwa sana la Apostles yaani kutoka kwenye uilsamu kwenda kwenye ukristo hii niliona Al Jazeera sema ukigundulika tu adhabu yake ni kifo kama sikosei ndio maana wengi wanabadili kimya kimya sababu ya sheria ya kiisam
Acha kujidanganya kwamba eti Uislam haujengwi na nchi.Uislamu haujengwi na nchi ndugu yangu weeh fanya vyote vilivyokatazwa lkn mwny hukumu ni Allah...weeh ukitaka kuukera uislam njoo na matamko ya ajabu..kama wale marasta wanaotazama status za yesu
Hakuna kitu kizito hapo weeh ukristo unakurusu uchore tattoo...nakusisitiza ukitaka kuukera uislam weeh njoo na matamko ya ajabu kama wale manabii wenu waliotoka Marekani wanasema wanaona status za Yesu daily...uislam hautaki ujinga huo..na wala uislam haudili na maisha binafsi ya mtuUmempiga FaizaFoxy na Hance Mtanashati kwa kitu kizito mno
Hiyo inaitwa hasira ya kuuona ukweli. Jionee wayahudi wanavyowaona najisi:Umempiga FaizaFoxy na Hance Mtanashati kwa kitu kizito mno
Chuma hicho...sasa hivi Waislam wanakiabudu. Hawaachi kukitaja kwenye Mafundisho yao kama succwss story. Wakati chenyewe kikiwa pande zile kinapiga allah akbar, kikiwa pande zingine kinakwambia Rastafari HaileUislamu unasema kitimoto ni haram
Uislamu unasema tattoo ni haram
Lakini mtu mwenye tattoo anayetoka dini nyingine anakaribishwa vizuri kwenye uislamu. Na zile story za tattoo haram hutazisikia tena.
Mnaruhusuje mtu haramu aje kuinajisi dini?
Au hizo tattoo mtazifuta?
Mike Tyson naye alisilimu na ana tattoo kubwa kwenye jicho mbali na hilo ana project yake ya kutengeneza pipi za sikio zenye kionjo cha ganja yani bangi na kaifanya juzi hapo akiwa bado muslamu.
Bado mtasema dini yenu haichezewi?
Kesho akisilimu shoga mtakuja tena humu kupost kama ishara ya uislamu kukubalika?
Anyway haiwezi kuwa story kubwa kwasababu alisha silimu Lodovic Mohamed Zahed ambaye ni homosexual na ni mpigania haki za LGBT
Wote wa kina Imam Daayiee Abdullah huyu naye alikuwa mkristo aliyebatizwa kabisa nakumbuka hadi Al Jeezera waliwahi kuandika habari yake
Huyu pia naye ni shoga na anaongoza waumini msikitini.
Inatakiwa ujivunie pia na huyu kwa kuukubali uislamu.
Ukimkataa huyu au ukaona hafai kumtumia kujivunia kwakuona anauchafua uislamu kwakua anafanya jambo ambalo dini imekataza, basi unatakiwa uwe na misimamo hiyo hiyo na kwa hao wenye tattoo na wavuta ganja.
Si ni kama CCM tu inavyowafanyia watanzania huku na wewe ukiwa ni miongoni mwa wana CCM hao au?
Huyu imamu aache ushoga. Ni vibaya sanaImam kuwa shoga ni matusi?
![]()
Meet America’s first openly gay imam
He’s been condemned by other Muslim leaders, but Imam Daayiee Abdullah is proud of his storyamerica.aljazeera.com
Nenda kaliwe trako mchicha mwiba wewe.Acha uchoko mkuu. Ni mbaya sana kidini