Asante kwa taarifa hii nzuri na muhimu, kuna wadau wapo hapa wanafuatilia kwa karibu na notebooks mikononiKulala ni 50,000 lkn hawapendi kabisa anayekuja kulala sababu inakua hela ya owner!
Pale ukienda mara kwa mara unakuwa mteja wao hadi elfu 10 wanachukua
Lapaloma
Mayfair
Nilipita nikaona kibao,ushaingia nn hadi unajua na hadhi yakeHmm...LaPaloma umeijuaje wewe?
Ni gesti chafu sijapata kuona.
Nilipita nikaona kibao,ushaingia nn hadi unajua na hadhi yake
hii kama naijua si ipo pale chocho katikati kabisa kama unaelekea bonden kuleDurban
Nilikua nakulaga maeda ukikaa pale unaona waingiao na watokaoHahahaaaaa......
itakuwa sewaKuna gesti ina vitanda vya zege ipo buruguni......siikumbuki jina ngoja nikirudi tena ......
Hata sijui pakoje nimeama maeneo hayo sijapita siku mingi sanaIla siku hizi imekarabatiwa na kugeuzwa matumizi nadhani
Nilikua nakulaga maeda ukikaa pale unaona waingiao na watokao
Hahaha duuPale kuna vyumba hadi vya buku jero!
Ila siku hizi imekarabatiwa na kugeuzwa matumizi nadhani
Mmh si mpitaji sana njia ile ila kuna siku niliona kama mafundi wako busy pale
Ina maana mi mkakaMbona uzi huu akina dada hawachangii