Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #181
Asante kwa taarifa hii nzuri na muhimu, kuna wadau wapo hapa wanafuatilia kwa karibu na notebooks mikononiKulala ni 50,000 lkn hawapendi kabisa anayekuja kulala sababu inakua hela ya owner!
Pale ukienda mara kwa mara unakuwa mteja wao hadi elfu 10 wanachukua