Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,375
Usiulize maswali mengi sana ila Najua ni pazuri kwa kweli.Yeah! Naww ulikuwa unaenda hapo?
SawaaaaUsiulize maswali mengi sana ila Najua ni pazuri kwa kweli.
Ile kwichi kwichi hotae ndio huwa siipendi kama nini ...!!! Jamaa mmoja ndio alisema hivyo sio mimiGesti Nyingi tu za kisasa kabisa zinapigwa vitanda vya zege siku hizi na usidhani utagundua kirahisi maana vinapigwa finishing ya sofa kwa ngozi na nakshi unaweza kudhani ni vitanda vya kisasa. Wanasema inasave gharama ya kubadili vitanda na magodoro na pia havipigi kwichi kwichi kama vya mbao au chuma.
Haaa afadhali kwanini?Duu afadhali mwaya
Hahaha! Haya bwana, wewe endelea kujificha tu,utakutana na sisi walimwengu siku moja wakati umebeba mbebz ukaumbuka. Kuna kina mshana gereji ya Tabata, Nawafahamu sana, nadhani Nakukaribia siku hadi siku. Nimefanya nao biashara.Ile kwichi kwichi hotae ndio huwa siipendi kama nini ...!!! Jamaa mmoja ndio alisema hivyo sio mimi
Hahaha kweli kabisa mkuu"tunapigana vikumbo huku tunaangalia chini zile sehem bwana acha kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] sometimes hata kupigana vikumbo nimekumbuka maembe gesti njia ya mabatini
P
PR sinza
Sisimko
Akachube Rd [emoji15]
Ndio hiyo hiyo ina kigorofa cha kizushi
Hiyo sio ya dizain zile ukienda na mwanamke wanakuuliza kitambulisho cha ndoa kwanza?Kuna gesti moja tabata dada wa mapokezi ni mlokole..Ukienda pale kabla hajakupa funguo anaanza kukupiga gospel kwanza
Bonyeza hapa, hiyo gesti upo pale ubungo maeneo ya Riverside haina jina, ila kwenye geti wameandika BONYEZA HAPA ili upige kengele kuita ufunguliwe mlango
Nitashukuru mkuuTeh teh..Ntakupa address mkuu