Gesti za bongo

Gesti za bongo

Gesti Nyingi tu za kisasa kabisa zinapigwa vitanda vya zege siku hizi na usidhani utagundua kirahisi maana vinapigwa finishing ya sofa kwa ngozi na nakshi unaweza kudhani ni vitanda vya kisasa. Wanasema inasave gharama ya kubadili vitanda na magodoro na pia havipigi kwichi kwichi kama vya mbao au chuma.
Ile kwichi kwichi hotae ndio huwa siipendi kama nini ...!!! Jamaa mmoja ndio alisema hivyo sio mimi
 
Dodoma na mtwara ni bomba sana, ukikuta lodge ya kisasa,inakuta imetimia sana.
 
Ile kwichi kwichi hotae ndio huwa siipendi kama nini ...!!! Jamaa mmoja ndio alisema hivyo sio mimi
Hahaha! Haya bwana, wewe endelea kujificha tu,utakutana na sisi walimwengu siku moja wakati umebeba mbebz ukaumbuka. Kuna kina mshana gereji ya Tabata, Nawafahamu sana, nadhani Nakukaribia siku hadi siku. Nimefanya nao biashara.
 
Kuna gesti moja tabata dada wa mapokezi ni mlokole..Ukienda pale kabla hajakupa funguo anaanza kukupiga gospel kwanza
Hiyo sio ya dizain zile ukienda na mwanamke wanakuuliza kitambulisho cha ndoa kwanza?
 
Bonyeza hapa, hiyo gesti upo pale ubungo maeneo ya Riverside haina jina, ila kwenye geti wameandika BONYEZA HAPA ili upige kengele kuita ufunguliwe mlango

Hizo zisizo na majina zipo nyingi sana aisee.

Kijitonyama zipo kama 7 hivi nizijuazo mimi.

Na pande za kule Majowe ndo kabisaa...zipo kila kona.
 
We mshanar kwa utabiri wangu utakuwa unakula bata sana maeneo ya makumbusho au kijitonyama karibu sana leo hapa jux pub, kuna guest moja umeisahau inaitwa EKO ipo makumbusho
 
Back
Top Bottom