Unafikiri running cost za dispensary ni sawa na hospitali?kwa hiyo running cost za hospitali kubwa huwa juu mtu ukienda kupima mkojo? Ni kipi kinapandisha?
Nitachojua mbezi hawawezi kupewa pesa na serikali sawa na muhimbili au mwananyamala, hivyo hivyo hata running cost kwenye hospitali binafsi zinabadilika kutokana na ukubwa wa hospitali
Ndio maana nimetoa mfano kuanzia chini kabisa yaani mbezi health na hospitali ndogo za mtaani , huu mfano wangu unanafanana mpaka ukifika level za hospitali kubwa
Soma hiyo document:Ndo maana nilisema mwenye hoja alete hizo bei kwa ulinganifu Gov vs private with same level consideration.
Mnaishia I can assure you.
Unaijua hata hiyo sputum cytology na bei za reagent zake au unawaza AFB?
ni tofauti mkuu ata ruzuku za serikali ni tofauti "the bigger the cow ,the bigger the rope" ndio mfumo ulivyo kwa hivyo gharama za hospitali kubwa zinakuwa compasate na ruzuku kubwa za serikaliUnafikiri running cost za dispensary ni sawa na hospitali?
Soma hiyo document:
Sputum cytology: USD 2,516x2300=??
5,786,00/=
Umelipa 80,000/= Unakuja kufungua uzi.
Ingia kwenye hiyo biashara. Anzisha kituo cha afya ngazi yoyote then weka bei zako na utaujua ukweli.Tatizo kubwa ni kuwa matibabu imefanywa kuwa ni biashara kama nyingine.
Mbaya zaidi faida kubwa kubwa zumewekwa kuwa vipaumbele hata kwa hospitali za umma.
Imekuwa biashara isiyokuwa regulated kama biashara ya mihadarati tu.
Aibu kubwa kwa wenye dhamana wanaoachia hali kama hizi kuendelea kuwapo.
Tunapoelekea, wananchi watakosa pesa za matibabu huku serikali ikiendelea kujisifu imeboresha huduma za afya, hii sijui itakuwa na maana gani kama maboresho ya huduma hizo, hayaendani na hali ya kipato cha wananchi wake, wasaidiwe vipi ili waweze kuzimudu.Ninakubaliana nawe. Hata bungeni panapo dharura mambo yote huahirishwa:
1. Hakuna anayeweza kulipa bei hizi
2. Hakuna mfuko wowote wa bima utanusurika kwa kulipa bei hizi.
Kwa hakika serikali imejipanga kukusanya pesa zote toka kwa wananchi tena kiujanja ujanja tu.
Hii haikubaliki.
Ingia kwenye hiyo biashara. Anzisha kituo cha afya ngazi yoyote then weka bei zako na utaujua ukweli.
Kwa hiyo laki3.5 yaweza kuwa ni bei ya wastani kwa wenye kipato na masikini?Huwezi kuandaa bidhaa/huduma ambayo wanaweza kununua wenye uwezo mkubwa wa kipesa tu na vile vile huwezi kuandaa huduma ambayo yule maskini hohehahe anaweza kununua. Gharama ya bidhaa ni kukutana katikati.
Jiulize: ilifikia wapi ku-regulate ada za shuleBei za vyakula: nendeni mkalime -- Bashe.
Bei mahospitalini: anzishehi hospitali -- wewe.
Kwanini nauli, petrol nk zinakuwa regulated?
Haituingii akilini. Kwani hospitali za umma ni binafsi kama chakula cha wakulima?
Tunahitaji bei hospitali kuwa regulated kwa kuanzia kujua gharama halisi.
Tutakapo hoji walioko madarakani mtashauri tuwafurushe watoke?
KabisaKwa hiyo laki3.5 yaweza kuwa ni bei ya wastani kwa wenye kipato na masikini?
Two options:Bei za vyakula: nendeni mkalime -- Bashe.
Bei mahospitalini: anzishehi hospitali -- wewe.
Kwanini nauli, petrol nk zinakuwa regulated?
Haituingii akilini. Kwani hospitali za umma ni binafsi kama chakula cha wakulima?
Tunahitaji bei hospitali kuwa regulated kwa kuanzia kujua gharama halisi.
Tutakapo hoji walioko madarakani mtashauri tuwafurushe watoke?
Matibabu ni gharama Huna pesa usitegemee kupata matibabu
Ova
Jiulize: ilifikia wapi ku-regulate ada za shule
Two options:
1: ingia mfumo wa bima kuna mpaka 192,000/= kwa mwaka.
2: omba msamaha kama una-qualify
La sivyo, fanya kazi kwa bidii na upate ujira ujikimu.
Soma hiyo document:
Sputum cytology: USD 2,516x2300=??
5,786,00/=
Umelipa 80,000/= Unakuja kufungua uzi.
Kuhoji kupata bei halali si kuhitaji lolote bila pesa.
Dialysis ni 450,000/- @session Mtu.
Unajua Kwa Nini siyo 1,000,000/-, 50,000/-, au 5,000/- kwa session kwa mtu?
Kwanini tusifahamishane kwenye hizo machela, umeme, maji, ujuzi, vifaa nk?
Wengi hukimbilia muhimbili afu hawalipiMatibabu ni gharama Huna pesa usitegemee kupata matibabu
Ova