Lukonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,469
- 2,086
Unafikiri running cost za dispensary ni sawa na hospitali?kwa hiyo running cost za hospitali kubwa huwa juu mtu ukienda kupima mkojo? Ni kipi kinapandisha?
Nitachojua mbezi hawawezi kupewa pesa na serikali sawa na muhimbili au mwananyamala, hivyo hivyo hata running cost kwenye hospitali binafsi zinabadilika kutokana na ukubwa wa hospitali
Ndio maana nimetoa mfano kuanzia chini kabisa yaani mbezi health na hospitali ndogo za mtaani , huu mfano wangu unanafanana mpaka ukifika level za hospitali kubwa