Political Jurist
Senior Member
- Sep 6, 2021
- 143
- 120
Sio kweli kuwa hospitali za Umma zipo juu kuliko Private ,watu wanakimbiaga hospitali za Private kwenda kwenye hspitali za UMMA na hii ni kutokana na gharama kuwa nafuu kwenye hospitali za UmmaMkuu tatizo pia siyo kuwa gharama ni kubwa kama za private tu.
"Private unawaelewa wao wamejenga zao kama anavyosema Bashe."
Tatizo hapa ni kwa nini ni bei hizo zilizopo.
1. Nani anayepanga bei hIzi na kwa vigezo gani?
2. Je ni bei kwa ugonjwa, dawa, ujuzi, vifaa au majengo?
Iko kama lengo ni kuhakikisha tunakuwa mafukara kweli kweli.