Gharama ya usafiri kupitia ATCL kuanzia KIA mpaka Dar ni laki 8+ haya ni maajabu

Ukichelewa kukata tiketi, nauli huwa juu

Kuna siku nilikuwa na dharula ya safari, nililipia shilingi 975,000 kutoka DSM hadi Arusha, one way 🙌
Hii nchi watu mna hela jamani..
 
Of course ni kubwa

Haya mashirika, ni kwa vile wamekosa upinzani wa kutosha ndiyo maana bei zimekuwa juu

Ingekuwa enzi za fastjet, hapo watu wangelipa 230,000 hivi kwa safari moja
Ndio basi tena.
 
Wazee ni hatari sana. Na yule ERoni alikuwa ananikandia kuwa nina ID mbili kumbe mzee ana ID lukuki hadi ya shwaziniga kwa ajili ya kutrap nyama nzuri, Duuh aisee. Humu ukikaa kudhani nyama ni ngumu kupata unaishi na delusion tu.
Unajua tofauti kati ya ID na Username? Mbona wengi wanajua nilibadilisha username ya Eli79, shwazniga ni avatar/picha, hii ya Sibeko na Shwazniga ndio avatar nimekuwa natumia toka nijiunge.

Usiwe mjinga, najua umeenda shule kidogo kijana!!!
 
Wewe acha kujifanya mtakatifu.
Unajitetea sana
 
Wewe acha kujifanya mtakatifu.
Unajitetea sana
Unadhani naweza kuwa mjinga wa viwango vyako, nifungue multuple IDs ili nipte nini, nikimtaka mwanamke natumia jina hili, namface direct, namtongoza, akikataa basi. Siwezi kuwa mjinga wa kiwango chako.
 
wafanyeje sasa Shirika linazalisha hasara badala ya faida.

ATCL na mashirika yote yaliyo chini ya serikali yanapata hasara kwa sababu ya wizi, na wanaoteuliwa kuendesha hayo mashirika huwa wanapewa kama nafasi ya kwenda kunufaika wao binafsi. Ndiyo maana anayewateua amewaambia wale kwa kadiri ya urefu wa kamba zao, yaani kila anayemteua akaibe kwenye taasisi yake kwa kadiri mazingira yanavyomwezesha kuiba.

Siku zote ukiwa na viongozi wevi na mafisadi, wadhulumu haki, tegemea hali hiyo hiyo kwa wateule wao.

Fikiria Fastjet walikuwa wanatoza shilingi kati ya 80,000 mpaka 400,000 to return ticket, na bado walitengeneza faida. ATCL wanatoza return ticket Mwanza to Dar sh 800,000 mpaka 1,000,000, lakini wanapata hasara!! Majizi, kadiri mapato yanavyoongezeka, ndivyo na yenyewe yanavyozidi kuongeza kiasi cha kuiba. Na hiyo ndiyo sera ya CCM kwenye nafasi zote. Hiyo ndiyo maana ya kula kwa urefu wa kamba!!
 
hizo akili unazipata wapi mwanawane? Hakuna maono ya hivyo kwa sasa.
 
Reactions: Tsh
Unadhani naweza kuwa mjinga wa viwango vyako, nifungue multuple IDs ili nipte nini, nikimtaka mwanamke natumia jina hili, namface direct, namtongoza, akikataa basi. Siwezi kuwa mjinga wa kiwango chako.
Acha kujipa kulia minyama wewe, unapenda sana kujipa ujiko sana. I'd kibao unazo. Mimi ilitokea kwasababu ya Seran tu ila sinaga mpango wa ID lukuki
 
Nakutania mkuu nothing serious
Mkuu,
Sijawahi kuwa perfect walaaaaa, hata mimi nazitamani sana papa na nikipata chance nakula, japo kwa sasa nguvu zinaisha na hamu inakata taratibu. Naamua kutulia na bibi yako tule uzee wetu kwa amani..
 
Wewe wajuvi wanakujua humu ni moto wa kuotea mbali sana, unazichakata sana
 
Hiyo ni zaidi ya kwenda JBG south africa. Wapuuzi tu! Utasikia wansema ni mfumo badala ya kusema ni ujinga wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…