Gharama ya usafiri kupitia ATCL kuanzia KIA mpaka Dar ni laki 8+ haya ni maajabu

TZ Kuna vitu ukivigusa unaweza kuhisi kama mna gundu au mmelaaniwa na mtu aliyefariki....Tuna mambo ya kishamba Sana halafu nchi yenyewe ni maskini.
 
Wanafanya usafiri wa anga kuwa anasa. Smh
Hata ukisikia wamenunua ndege 100 sio kwa faida ya wananchi maana nauli zao zipo juu harafu mwisho wa siku CAG anakuja na report ya hasara tena..
 
Ni kama unaendaa saint Pertsrburge😀
 
Lakini kwa S.A domestic flifhts mbona ni rahisi rand 550-600 unasepa zako
Zingine 1000 up 1200

Ova
 
Inaizidi hata yw kwenda Oman,nje ya bara kabisa
 
Lakini kwa S.A domestic flifhts mbona ni rahisi rand 550-600 unasepa zako
Zingine 1000 up 1200

Ova
Inategemeana na season pia ila bei zao ndio hizo hizo Jhb mpaka Cape ndio huwa inakua juu zaidi wiki iliyopita ilikua rand 1700 ticket moja..
 
Mkuu hii nauli ni one way ticket au go/return?

Ova
 
Na bado shirika kila mwaka linakula hasara.
 
A few wks ago nilikata ATCL MBY~DAR, wk moja kabla ya safari, nauli ilikua 565,000 TSH. Hii ni bei kubwa sana kwa mtanzania wa kawaida japo ndege ilijaa.
Na hiyo ni kwenda tu siyo

Ova
 
Domestic flights zikiwa na reasonable watu wengi watazitumia,nyie mko na mgomo watu wana kwea flight chap maisha yanaendelea

Ova
 
Na bado shirika kila mwaka linakula hasara.
Wanaiba pesa hakuna hasara kwa bei hizo hata wafanye miezi 8 mingine wapumzike wanajua wakitoa taarifa ya hasara hakuna kitu kinaendelea wataendelea kusema hasara kila mwaka..
 
Hapo bado mbona,njoo kwenye report ya CAG utachoka
 
We si umeona huko makaburu mashambani wana ndege zao,dk 0 kalitukunyua karuka

Ova
Familia nzima unakuta wana leseni ya kuendesha ndege ukienda kununua kitu kwao kama ni kidogo anaangalia ashushe wapi ndio mkutane anakupa location unaenda na gari lako ukifika ndio anatoka huko mashambani dakika chache huyu hapa ana mashine ya kulipia kwa card au unafanya transfer mnaachana hapo..
 
Ukichelewa kukata tiketi, nauli huwa juu

Kuna siku nilikuwa na dharula ya safari, nililipia shilingi 975,000 kutoka DSM hadi Arusha, one way 🙌
Na hapo hayajatokea mapichapicha ya ndege kuchelewa kuondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…