KERO Gharama za Kujifungua Hospital ta Taifa Muhimbili MNH (Mloganzila) ni kufuru

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Halafu Kile kibabu cha Muhimbili Janabi badala ya kufanya tafiti namna gani huduma zao ziwe za bei rafiki kwa wananchi yeye kila siku nikutaka kutrend na vitu vya hovyo hovyo...watu wa hivi enzi za u communist ilikua nikunyongaa tu.
 
Halafu Kile kibabu cha Muhimbili Janabi badala ya kufanya tafiti namna gani huduma zao ziwe za bei rafiki kwa wananchi yeye kila siku nikutaka kutrend na vitu vya hovyo hovyo...watu wa hivi enzi za u communist ilikua nikunyongaa tu.
Daah.
 
Siku hizi wanaume wanaruhusiwa kuingia wodi za wazazi huko mloganzila au muhimbili???
Kwani unafikiri wodini hawaingii? wanaoendakuwasalimia wagonjwa unafikiri anaishia nje getini sio?

Kwa kujibu swali lako ndugu wawagonjwa wanaingia wodini muda wakuona wagonjwa kama kawaida. Pale mloganzila kuna wodi moja ndio watu hawaruhusiwi kuinga hata kama ni mwanamke ni wodi pia ya wazazi. nyingine zote za wazazi wanaruhusiwa kuingia.

Pili Kujua kama watu wanadaiwa sio lazima ungie wodini hata Mukiwa pale Hospitalini munakutana na ndugu na story zahapa napale kila mmoja anae;leza kinachomsibu ni jambo la kawaida sana
 
Uzuri ukiwa chawa wa Mama na kadi ya CCM haulipi kitu
 
Ni nafuu Wakati uwezekano wa mama na mtoto kufariki ni mkubwa pia! Sasa huo ndio unafuu Gani!?
 
Gruuu nimecheka sana eti unakula mzigo tu 🤣🤣
 
Hiko kitu kinaumiza kichwa sana hasa ukiwa baba wa familia. Nilimpeleka mke wangu private akiwa na mimba ya first borne japo kwa assist ya bima haikuwa ishu sana. 2nd borne bima haikuwepo mziki wake ulikuwa mnene sana ikabidi nijisalimishe kwa bakabaka hospital.

Hela nilitumia ndogo sana sikutegemea yani ila huduma zao ziko vizuri mno na wasafi. 3rd borne ntapeleka pale pale na uzuri zaidi dada yake ni baka baka so maelekezo ni chap simu moja tu.
 
Mloganzila Wana huduma nzuri mno,muhimu uwe na bima Tu!
Kama huna bima lazima mchozi ukutoke ukipokea bill yako!
Kama hospitali utalipa 2M maana yake complications za mama ni nyingi. Saa nyigine wanampiga kisu mke ili wachukue mpunga mrefu ila still kwa hizo gharama kujifungua kawaida utakuta ni 750,000 na kwa bima ni 350,000 hukwepi humo. Still ni parefu kwa sisi wanyonge.

Lugalo mi nimetumia kama 170K bila bima 🤣 sikuamini. Na mama alilala 2 days before ku release kifurushi.
 
So huwa hutibiwi ukiwa na bima mzee ???
Acha uongo bwana mi toka nazaliwa mpaka nakaribia 40 nimetumia bima maisha yangu yote na hiki unachokisema hapa sio sahihi
Bima labda za private ila hii inayoitwa NHIF huwezi kutoboa bila kuguswa japo kidogo. Kuna huduma tu utaambiwa haiko kwenye bima 😂 na hicho ndicho kimenifanya niachane kabisa na hio Bima ya mchongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…