Gharama za treni mpya ya EMU kutoka Dar hadi Dodoma zilipaswa kuwa gharama za usafiri wa ndege

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Treni mpya ya SGR yenye mfumo wa Electrical Multiple Units (EMU) imeanza safari za Dar Moro Dodoma tangu tarehe 1 mwezi wa 11 2024.

Licha ya kuwa more comfortable zaidi ya zile za kawaida, treni za EMU zinafikia kasi ya juu kwa haraka zaidi.

Safari ya kwanza kutoka Dar kwenda Dodoma imechukua saa 3 tu ikilinganishwa na takribani saa 4 kwa SGR ya kawaida.

Yote haya ni mambo mazuri katika nyanja ya usafiri Tanzania na ni mambo ya kupongezwa. Ila angalizo moja hapa ni juu ya gharama kubwa za safari ya treni hizi. Inaonekana wazi kabisa usafiri huu mzuri haujakusudiwa kuwa wa kila mtanzania kwani watanzania wenye kipato cha chini hawataweza kumudu kulipa shilingi 100,000/- hadi 150,000/- kati ya Dar-Dodoma.

Kimsingi gharama hizi zilipaswa kuwa za ndege. Nimesafiri kwa ndege kati ya London na Glasgow kwa Pound 40 sawa na TSh 120,000/= tu!
 
Tatizo tuna viongozi vichaa.sijui waliwaza Nini nauli kutoka dar Hadi Dodoma kuwa laki na nusu!Huu ni usafiri wa umma na unatakiwa ulenge watu wote.kama laki na nusu kutoka dar Hadi Dodoma Kwa maana ikifika kigoma itafika laki tatu na nusu ambayo itakaribia usafiri wa ndege kutoka dar Hadi mwanza.
 
Hii inaonesha taswira halisi ya ukosefu wa weledi katika mipango na hili ndio tatizo kuu la nchi zinazoendelea, serikali badala ya kutoa huduma kwa wananchi wao wanawageuka kuwa wafanyabiashara,na wala hawaoni vibaya...Acha wapande wao na familia zao
 
Dar Dom ndege huwa zinajaa pamoja na ukubwa wa nauli...

Nadhani hata hiyo treni watakuwa wamerefer bei za ndege then wakapunguza kwa asilimia kadhaa around 60-50%

Ukiacha hilo, bila shaka gharama za kiuendeshaji maana hiyo mashine inatumia umeme sio wa bure, ina wafanyakazi lukuki kwa kila safari moja (tofauti n basi)...
 
Treni mpya ya SGR yenye mfumo wa Electrical Multiple Units (EMU) imeanza safari za Dar Moro Dodoma tangu tarehe 1 mwezi wa 11 2024.

Licha ya kuwa more comfortable zaidi ya zile za kawaida, treni za EMU zinafikia kasi ya juu kwa haraka zaidi.

Safari ya kwanza kutoka Dar kwenda Dodoma imechukua saa 3 tu ikilinganishwa na takribani saa 4 kwa SGR ya kawaida.

Yote haya ni mambo mazuri katika nyanja ya usafiri Tanzania na ni mambo ya kupongzwa. Ila angalizo moja hapa ni juu ya gharama kubwa za safari ya treni hizi. Inaonekana wazi kabisa usafiri huu mzuri haujakusudiwa kuwa wa kila mtanzania kwani watanzania wenye kipato cha chini hawataweza kumudu kulipa shilingi 100,000/- hadi 150,000/- kati ya Dar-Dodoma.

Kimsingi gharama hizi zilipaswa kuwa za ndege.
Watanzania sijui tufanyiwe nini tuelewe.
Jaribu usafiri wa bure wa ungo.
 
Tatizo kubwa zaidi la kiutawala ambalo sisi wa-Afrika tunalo ni kutokana na kuwepo kwa Watu(watawala) ambao uwezo wao wa kufikiri kuwa na mushkeli mkubwa sana. Thinking capacity yao Watu hao ni ya ajabu Sana, ukiwa na akili timamu sawa sawa kabisa kamwe hautaweza kuwaelewa, labda uwe mwendawazimu ndio unaweza ukawaelewa vizuri.
 
Wengi hatuelewi.
Treni ya SGR ya Mchongoko(EMU) Ina madaraja kama vile ilivyo SGR ya kawaida.

EMU kwa daraja la kawaida(Economy) Dar-Dom ni elfu 40 tuu hiyo laki moja sijui laki na nusu ni madaraja makubwa ya Royal ambayo kimsingi Wote mnasafiri ila Wao wa Royal wanamazingira tofauti na wale wa Daraja la Economy (maisha ndio yalivyo ma-gape yapo kila sehemu)

Treni ya kawaida Daraja la Economy ni Tsh Elfu 31 tuu (Dar-Dom).

Sasa unamaanisha Elfu 40 au elfu 31 sio affordable kwa Mtanzania?? (Unaijua nauli ya basi??))

Au unataka Kusiwepo na madaraja ndani ya treni?

Kumbuka treni ni hiyo hiyo na Muda wa kutoka na kufika ni ule ule ila kila Mtu atakaa kutokana na Uwezo wake wa pesa.
 
Treni mpya ya SGR yenye mfumo wa Electrical Multiple Units (EMU) imeanza safari za Dar Moro Dodoma tangu tarehe 1 mwezi wa 11 2024.

Licha ya kuwa more comfortable zaidi ya zile za kawaida, treni za EMU zinafikia kasi ya juu kwa haraka zaidi.

Safari ya kwanza kutoka Dar kwenda Dodoma imechukua saa 3 tu ikilinganishwa na takribani saa 4 kwa SGR ya kawaida.

Yote haya ni mambo mazuri katika nyanja ya usafiri Tanzania na ni mambo ya kupongzwa. Ila angalizo moja hapa ni juu ya gharama kubwa za safari ya treni hizi. Inaonekana wazi kabisa usafiri huu mzuri haujakusudiwa kuwa wa kila mtanzania kwani watanzania wenye kipato cha chini hawataweza kumudu kulipa shilingi 100,000/- hadi 150,000/- kati ya Dar-Dodoma.

Kimsingi gharama hizi zilipaswa kuwa za ndege.
Gentleman, pendekezo zuri sana.

Tuwe wavumilivu kidogo kwa sasa, kwani ni mapema mno kuzungumzia chochote kuhusu hilo.

Hata hivyo mamlaka husika zimechukua pendekezo na oni hilo, na watafanya tathmini ya kina baadae na kuona linalowezekana,
ingawa kwasasa safari zitaendelea kama kawaida kwa gharama hizo hizo 🐒
 
Hapa Sasa ni çhaguo lako upande ndege kwa 100000 hadi 150000 au upande train.
 
Wengi hatuelewi.
Treni ya SGR ya Mchongoko(EMU) Ina madaraja kama vile ilivyo SGR ya kawaida.

EMU kwa daraja la kawaida(Economy) Dar-Dom ni elfu 40 tuu hiyo laki moja sijui laki na nusu ni madaraja makubwa ya Royal ambayo kimsingi Wote mnasafiri ila Wao wa Royal wanamazingira tofauti na wale wa Daraja la Economy (maisha ndio yalivyo ma-gape yapo kila sehemu)

Treni ya kawaida Daraja la Economy ni Tsh Elfu 31 tuu (Dar-Dom).

Sasa unamaanisha Elfu 40 au elfu 35 sio affordable kwa Mtanzania?? (Unaijua nauli ya basi??))

Au unataka Kusiwepo na madaraja ndani ya treni?

Kumbuka treni ni hiyo hiyo na Muda wa kutoka na kufika ni ule ule ila kila Mtu atakaa kutokana na Uwezo wake wa pesa.
Mnaanza kupoteana wenyewe, mmoja amezungumzia running cost umeme na blahblah zingine, if that is case kuwepo kwa madaraja its ok, ili kuwepo na access ya angalau hata sisi wakulima tu afford hizo high class angalau kiwango kingeshushwa hata iwe 100,000 kwa uchache..rejea kuwa tanzania sera huwa kupandisha tu gharama ,suala la kushuka sahau
 
Gentleman, pendekezo zuri sana.

Tuwe wavumilivu kidogo kwa sasa, kwani ni mapema mno kuzungumzia chochote kuhusu hilo.

Hata hivyo mamlaka husika zimechukua pendekezo na oni hilo, na watafanya tathmini ya kina baadae na kuona linalowezekana,
ingawa kwasasa safari zitaendelea kama kawaida kwa gharama hizo hizo 🐒
Zínaendelea kwa maumivu na malalamiko
 
Gentleman, pendekezo zuri sana.

Tuwe wavumilivu kidogo kwa sasa, kwani ni mapema mno kuzungumzia chochote kuhusu hilo.

Hata hivyo mamlaka husika zimechukua pendekezo na oni hilo, na watafanya tathmini ya kina baadae na kuona linalowezekana,
ingawa kwasasa safari zitaendelea kama kawaida kwa gharama hizo hizo 🐒
Kwani kabla ya kupanga viwango hivi vya nauli hao Watawala wa TRC walikuwa hawajafanya tathmini ya kina kuhusu suala hili?
Je, unaelewa maana ya Upembuzi Yakinifu wa kina (Detailed Feasibility Study) ?
Je, uongozi wa TRC uliwezaje kupanga viwango hivi vya nauli bila kwanza kufanya utafiti wa kina kabisa kuhusu suala hili?

The problem of Africans, those with ideas have no power and those with power have no ideas!
 
Mnaanza kupoteana wenyewe, mmoja amezungumzia running cost umeme na blahblah zingine, if that is case kuwepo kwa madaraja its ok, ili kuwepo na access ya angalau hata sisi wakulima tu afford hizo high class angalau kiwango kingeshushwa hata iwe 100,000 kwa uchache..rejea kuwa tanzania sera huwa kupandisha tu gharama ,suala la kushuka sahau
Screenshot_20241102-065900_1.jpg

Hii ndio Gharama ya Treni ya EMU Royal Class. Kama huna Ushahidi usizungumze hovyo.
 
Back
Top Bottom