Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kimbinyiko ndio ilitakiwa ichaji nauli kubwa zaidi kwa sababu inatumia gharama kubwa zaidi za uendeshaji na inafanya safari chache kwa siku.Kapande Kimbinyiko la ndugai elfu 25.
Kalaghabao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimbinyiko ndio ilitakiwa ichaji nauli kubwa zaidi kwa sababu inatumia gharama kubwa zaidi za uendeshaji na inafanya safari chache kwa siku.Kapande Kimbinyiko la ndugai elfu 25.
Bei za ATCL wakat wake muasis zilikuwaje?Angekuwepo mwasisi wake Hayati JPM, bei zisingekuwa hivyo.
Nafikiri hata atakayekuja 2025/2026 hatakubali hizi bei ziendelee maana atakuwa ameona maisha halisi ya wapiga kura mara baada ya kuzunguka nchi nzima.
Itoshe tu kusema, "vitu vya kurithi huwezi kuwa na uchungu navyo kama vile vitu vya kutafuta mwenyewe".
Basi na ndege zote zinatumia Mafuta ambayo ni ghali ikiringanisha na umeme, matengenezo pia train ni kidogo kuringanisha na basi au ndege. Wafanyakazi wengi pia treni Ina mabehewa mengi hence idadi Kubwa ya wateja.Dar Dom ndege huwa zinajaa pamoja na ukubwa wa nauli...
Nadhani hata hiyo treni watakuwa wamerefer bei za ndege then wakapunguza kwa asilimia kadhaa around 60-50%
Ukiacha hilo, bila shaka gharama za kiuendeshaji maana hiyo mashine inatumia umeme sio wa bure, ina wafanyakazi lukuki kwa kila safari moja (tofauti n basi)...
Ili baadaye TRC washindwe kujiendesha halafu muitukane serikaliAngekuwepo mwasisi wake Hayati JPM, bei zisingekuwa hivyo.
Nafikiri hata atakayekuja 2025/2026 hatakubali hizi bei ziendelee maana atakuwa ameona maisha halisi ya wapiga kura mara baada ya kuzunguka nchi nzima.
Itoshe tu kusema, "vitu vya kurithi huwezi kuwa na uchungu navyo kama vile vitu vya kutafuta mwenyewe".
Ndio maana twasema kama kwako ndege ya Bombadier ndio ndoto, EMU haikamatiki, SGR nayo hupandi, basi nenda kapando ngo ngo ngo lile la mpaka mwisho wa reli.Kwa bei hiyo, Watanzania wengu, hatutafaidika.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Nakubaliana na wewe imetoka kuwa huduma imekuwa ni biashara, express wangeweza kuweka hata elf 50 tu inatoshaTreni mpya ya SGR yenye mfumo wa Electrical Multiple Units (EMU) imeanza safari za Dar Moro Dodoma tangu tarehe 1 mwezi wa 11 2024.
Licha ya kuwa more comfortable zaidi ya zile za kawaida, treni za EMU zinafikia kasi ya juu kwa haraka zaidi.
Safari ya kwanza kutoka Dar kwenda Dodoma imechukua saa 3 tu ikilinganishwa na takribani saa 4 kwa SGR ya kawaida.
Yote haya ni mambo mazuri katika nyanja ya usafiri Tanzania na ni mambo ya kupongzwa. Ila angalizo moja hapa ni juu ya gharama kubwa za safari ya treni hizi. Inaonekana wazi kabisa usafiri huu mzuri haujakusudiwa kuwa wa kila mtanzania kwani watanzania wenye kipato cha chini hawataweza kumudu kulipa shilingi 100,000/- hadi 150,000/- kati ya Dar-Dodoma.
Kimsingi gharama hizi zilipaswa kuwa za ndege.
Yap wajinga wameikamata system vizuriUkiwa na elimu na hupendi siasa, tarajia kuongozwa na mjinga anayependa siasa. Bila shaka tunaongozwa na wajinga wanaopenda siasa
Hawataki masikini wanufaike na rasilimali za nchi yaoKama kawaida kila kitu kizuri wanawaweka kauzibe ili wanufaike wao tu.
Walipokuwa wanapanga kwa upande wao hizo ni bei ndogo sana kwani wanashinda ulaya na marekani na wanalipa mamilioni kibao kwa ndege.
Unajua hii ndio shida ya viongozi wa kiafrika.
Sawa tutajikuna pale tunapofika,hiyo yenu yenuuuuuKapande Kimbinyiko la ndugai elfu 25.
Mbona kitambo tu yuko kuzimu.Nikikumbuka Fast jet naumia sana kwakweli......Dar-Mbeya hadi elf 86 tulikuwa tunafika na kutamba fresh tu.....aliyeiua Fast jet nayeye atakuwa analaana
Usisahau hii treni imenunuliwa na ccm Kule pesa ipoTreni mpya ya SGR yenye mfumo wa Electrical Multiple Units (EMU) imeanza safari za Dar Moro Dodoma tangu tarehe 1 mwezi wa 11 2024.
Licha ya kuwa more comfortable zaidi ya zile za kawaida, treni za EMU zinafikia kasi ya juu kwa haraka zaidi.
Safari ya kwanza kutoka Dar kwenda Dodoma imechukua saa 3 tu ikilinganishwa na takribani saa 4 kwa SGR ya kawaida.
Yote haya ni mambo mazuri katika nyanja ya usafiri Tanzania na ni mambo ya kupongzwa. Ila angalizo moja hapa ni juu ya gharama kubwa za safari ya treni hizi. Inaonekana wazi kabisa usafiri huu mzuri haujakusudiwa kuwa wa kila mtanzania kwani watanzania wenye kipato cha chini hawataweza kumudu kulipa shilingi 100,000/- hadi 150,000/- kati ya Dar-Dodoma.
Kimsingi gharama hizi zilipaswa kuwa za ndege.
Kama huna uwezo wa kulipia nauli hiyo panda ndegeTreni mpya ya SGR yenye mfumo wa Electrical Multiple Units (EMU) imeanza safari za Dar Moro Dodoma tangu tarehe 1 mwezi wa 11 2024.
Licha ya kuwa more comfortable zaidi ya zile za kawaida, treni za EMU zinafikia kasi ya juu kwa haraka zaidi.
Safari ya kwanza kutoka Dar kwenda Dodoma imechukua saa 3 tu ikilinganishwa na takribani saa 4 kwa SGR ya kawaida.
Yote haya ni mambo mazuri katika nyanja ya usafiri Tanzania na ni mambo ya kupongzwa. Ila angalizo moja hapa ni juu ya gharama kubwa za safari ya treni hizi. Inaonekana wazi kabisa usafiri huu mzuri haujakusudiwa kuwa wa kila mtanzania kwani watanzania wenye kipato cha chini hawataweza kumudu kulipa shilingi 100,000/- hadi 150,000/- kati ya Dar-Dodoma.
Kimsingi gharama hizi zilipaswa kuwa za ndege.
Sasa wewe kwa akili zako hizo unafananisha Kempiski hiyo hoteli ya watu binafsi na treni ambayo ni usafiri wa Umma? Wewe kwa akili zako ukitaka kusafiri unatumia hoteli ya Kempiski? Kwani kulala Kempiski ni jambo muhimu kwa watanzania? Hivi wewe unashindwaje kuona kuwa bei za treni hizi zinapaswa kuwa nafuu kwa ili watanzania wengi waweze kumudu? Au unajifikiria wewe tu kwa kuwa huwezi kufikiri mbali zaidi ya pua yako?Kama huna uwezo wa kulipia nauli hiyo panda ndege
Ulilazimishwa?
Dar kuna Kempinski 500,000 usiku mmoja na mitaani hiuko kuna vitanda vya 2.000 kwa usiku mmoja, ulilazimishwa ukalale Kempinski? Au ulishawahi kulalamikia hilo hata siku moja?
Punguwani wahed.
Ndio hizo treni za matajiri tu zinasaidiaje watu wa kawaida wasio matajiri?Si mlisema yule jamaa analeta maendeleo ya vitu na si watu
Wewe babako anamiliki mabasi nini?Gharama ziko sawa zinatakiwa ziwe juu zaidi ili kubalance biashara kati ya mabasi na treni.
Wewe baba yako anamiliki mabasi nini?Gharama ziko sawa zinatakiwa ziwe juu zaidi ili kubalance biashara kati ya mabasi na treni.
Ya JiweYaleyale ya kupiga mbizi Ferry - Kigamboni