Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Ya JiweYaleyale ya kupiga mbizi Ferry - Kigamboni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya JiweYaleyale ya kupiga mbizi Ferry - Kigamboni
Ya JiweYaleyale ya kupiga mbizi Ferry - Kigamboni
Umemaliza Utata, Hata Huo Utofauti Wa Madaraja Sio Kihiivyo, Nilipanda Royal Class, Dar to Dom & then Dom to Dar, Niliambulia tukorosho na na Kahawa Wakati Wa Kurudi ni Korosho na Na Bia ya Kopo, So Hata Hao Wanaopanda Economy Wasijisikie Vibaya! Nothing Special Kwenye Bussines na Royal Class za SGR, NIlitaka Kusahau, NILIPATA NA NAMBA YA MUHUDUMU 😀Wengi hatuelewi.
Treni ya SGR ya Mchongoko(EMU) Ina madaraja kama vile ilivyo SGR ya kawaida.
EMU kwa daraja la kawaida(Economy) Dar-Dom ni elfu 40 tuu hiyo laki moja sijui laki na nusu ni madaraja makubwa ya Royal ambayo kimsingi Wote mnasafiri ila Wao wa Royal wanamazingira tofauti na wale wa Daraja la Economy (maisha ndio yalivyo ma-gape yapo kila sehemu)
Treni ya kawaida Daraja la Economy ni Tsh Elfu 31 tuu (Dar-Dom).
Sasa unamaanisha Elfu 40 au elfu 31 sio affordable kwa Mtanzania?? (Unaijua nauli ya basi??))
Au unataka Kusiwepo na madaraja ndani ya treni?
Kumbuka treni ni hiyo hiyo na Muda wa kutoka na kufika ni ule ule ila kila Mtu atakaa kutokana na Uwezo wake wa pesa.
Usafiri wa umma toka lini ukawa bure Tanzania? Hatujafikia huko, kama huna pesa, nauli ya train ipo mpaka ya 30,000.Sasa wewe kwa akili zako hizo unafananisha Kempiski hiyo hoteli ya watu binafsi na treni ambayo ni usafiri wa Umma? Wewe kwa akili zako ukitaka kusafiri unatumia hoteli ya Kempiski? Kwani kulala Kempiski ni jambo muhimu kwa watanzania? Hivi wewe unashindwaje kuona kuwa bei za treni hizi zinapaswa kuwa nafuu kwa ili watanzania wengi waweze kumudu? Au unajifikiria wewe tu kwa kuwa huwezi kufikiri mbali zaidi ya pua yako?

Usafiri wa umma toka lini ukawa bure Tanzania? Hatujafikia huko, kama huna pesa, nauli ya train ipo mpaka ya 30,000.
Usiige tembo, utachanika msamba.