Gharama za treni mpya ya EMU kutoka Dar hadi Dodoma zilipaswa kuwa gharama za usafiri wa ndege

R.I
R.I.P Magufuli
 
Hivi si kuna madaraja ndugu??
Hiyo 100,000 na laki unusu ni madaja gani?? Economy ni 100,000??
 
Ukiwa na elimu na hupendi siasa, tarajia kuongozwa na mjinga anayependa siasa. Bila shaka tunaongozwa na wajinga wanaopenda siasa
 
Nauli ya hizo treni Dar-Dodoma haikupaswa kuwa zaidi ya 60,000
Kweli.kabisa ....kuhesabu laki kusafiri tu siyo pesa ndogo ....ukizingatia treni linatumia umeme wa bei nafuu wa bwawa la nyerere hiyo bei ni yanini ? Tatizo ni rais tuliye naye siyo mzalendo wala mtanganyika
 
Kwangu mimi nitawatetea km ifuatavyo:
Wazungu ni wajanja sana na hasa US/EU huku huwezi pata kitu Kwa bei ya mchina/Asia hivyo viongozi wa Africa wanakipa toka western countries na hapa ndio riba inakua msumari wa moto maana vitu vyao ni corporate price.
Pili huwezi rejesha loans Kwa nauli ya elfu 10/20/30 ya ndege maana hata operating cost ni kubwa mno.
Tatu hapa ndio wakaja na suala la treni badala ya ndege maana walikua hawatoboi ATCL kl mwaka ni hasara.
Ndege wazitumie Kwa route za nje ya nchi za jirani plus mikoa isio na treni,kingine kinachowagharimu ni kua na mikono mingi ya walaji ambacho ndio kinaua hata mwendokasi Kwa sasa
 
Gongelea Msumari
 
Nimepiga hesabu Dar to Mwanza nauli itakua laki tano na hamsini kwa hizo emu
 
Hii inaonesha taswira halisi ya ukosefu wa weledi katika mipango na hili ndio tatizo kuu la nchi zinazoendelea, serikali badala ya kutoa huduma kwa wananchi wao wanawageuka kuwa wafanyabiashara,na wala hawaoni vibaya...Acha wapande wao na familia zao
Tanzania haiendelei imedumaa!
 
TRC wafanye kazi waapunguze makelele media kikkik maneno mengiii gentleman

Ova
 
Nyumbu wa SACCOS subiri uone watakavyotoa mapovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…