Gharama za treni mpya ya EMU kutoka Dar hadi Dodoma zilipaswa kuwa gharama za usafiri wa ndege

Bei za ATCL wakat wake muasis zilikuwaje?
 
Basi na ndege zote zinatumia Mafuta ambayo ni ghali ikiringanisha na umeme, matengenezo pia train ni kidogo kuringanisha na basi au ndege. Wafanyakazi wengi pia treni Ina mabehewa mengi hence idadi Kubwa ya wateja.

Lengo pia, kupunguza pressure kwenye mabasi na barabani Kwa ujumla.

Nzuri iwe reasonable bila kuathiri utendaji wa shirika mpka kupata msaada wahela kutoka serikali.

Pia wakumbuke wanamkopo wa muda mrefu wa matrilioni, kila faida inayopatikana ipunguze huu mkopo.
 
Ili baadaye TRC washindwe kujiendesha halafu muitukane serikali

You guys are very interesting

Bado tuna construction ya SGR na we need to collect cash ili tujenge reli nzima

Tuache kujitoa ufahamu
 
Tupunguze kukurupuka.

Naona kuna mchangiaji hapa kaweka Mambo hadharan kwamba bei sio moja .

Hata Tren ya TAZARA bei sio moja hata Treni ya kwenda Kigoma bei sio moja.

Kwenye tren ni Kama kwenye ndege
Kuna daraja la walala hoi na daraja la matajir .

Hata ukienda Lodge sio vyumba vyote bei ni moja , lodge yenye vyumba vya elfu 50 utakuta hata vya elfu 10 vipo.


Kwenye Boti za Azam kuna madaraka elfu 30 Dar - Zanzibar na kuna madaraja ni Zaid ya elfu 60.

Au unahis inawezekana wewe na Mo Dewj mkakaa pamoja kwenye behewa moja?
 
Kwa bei hiyo, Watanzania wengu, hatutafaidika.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ndio maana twasema kama kwako ndege ya Bombadier ndio ndoto, EMU haikamatiki, SGR nayo hupandi, basi nenda kapando ngo ngo ngo lile la mpaka mwisho wa reli.
Ikishindikana panda ungo.
Tusijaribu kuishi kwa vile tusivyoviweza kwa kujaribu kunya kama tembo.
Utapasuka msamba.
Hata mimi kwangu V8 ni ndoto.
 
Nakubaliana na wewe imetoka kuwa huduma imekuwa ni biashara, express wangeweza kuweka hata elf 50 tu inatosha
 
Hawataki masikini wanufaike na rasilimali za nchi yao
 
Us
Usisahau hii treni imenunuliwa na ccm Kule pesa ipo
 
Kama huna uwezo wa kulipia nauli hiyo panda ndege

Ulilazimishwa?

Dar kuna Kempinski 500,000 usiku mmoja na mitaani hiuko kuna vitanda vya 2.000 kwa usiku mmoja, ulilazimishwa ukalale Kempinski? Au ulishawahi kulalamikia hilo hata siku moja?

Punguwani wahed.
 
Sasa wewe kwa akili zako hizo unafananisha Kempiski hiyo hoteli ya watu binafsi na treni ambayo ni usafiri wa Umma? Wewe kwa akili zako ukitaka kusafiri unatumia hoteli ya Kempiski? Kwani kulala Kempiski ni jambo muhimu kwa watanzania? Hivi wewe unashindwaje kuona kuwa bei za treni hizi zinapaswa kuwa nafuu kwa ili watanzania wengi waweze kumudu? Au unajifikiria wewe tu kwa kuwa huwezi kufikiri mbali zaidi ya pua yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…