Gharama za treni mpya ya EMU kutoka Dar hadi Dodoma zilipaswa kuwa gharama za usafiri wa ndege

Umemaliza Utata, Hata Huo Utofauti Wa Madaraja Sio Kihiivyo, Nilipanda Royal Class, Dar to Dom & then Dom to Dar, Niliambulia tukorosho na na Kahawa Wakati Wa Kurudi ni Korosho na Na Bia ya Kopo, So Hata Hao Wanaopanda Economy Wasijisikie Vibaya! Nothing Special Kwenye Bussines na Royal Class za SGR, NIlitaka Kusahau, NILIPATA NA NAMBA YA MUHUDUMU 😀
 
Usafiri wa umma toka lini ukawa bure Tanzania? Hatujafikia huko, kama huna pesa, nauli ya train ipo mpaka ya 30,000.

Usiige tembo, utachanika msamba.
 
Usafiri wa umma toka lini ukawa bure Tanzania? Hatujafikia huko, kama huna pesa, nauli ya train ipo mpaka ya 30,000.

Usiige tembo, utachanika msamba.
 
KAZENI hapo hapo serikali.
Huwezi kupanda EMU kapande gari la mkaa.
Mamaeee.
 
Usafiri wa umma toka lini ukawa bure Tanzania? Hatujafikia huko, kama huna pesa, nauli ya train ipo mpaka ya 30,000.

Usiige tembo, utachanika msamba.
 
Attachments

  • IMG-20250208-WA0018.jpg
    92.1 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…