Gharama za umeme zimepanda lini? Tsh.10,000 kwa unit 72 badala ya 82 imekuwaje?

Sio mama alisema tuwaungie umeme kwa 27,000 Tsh? ndio tunajilipa kidogo kidogo
 
Matumizi Ni chini ya Unit 75, ww unanunua unit 82, inakoendea wanakutoa kwenye iyo tarrif 4
 
Mko nchi gani nyie?
Au ni kikundi cha watu gani!?

Sisi elf 10 ni Unit 28

hio 70+ mnalalamika nini?.
 
hajielewi uyo, ngojea wamtoe kwenye iyo tarrif 4, nunua umeme wa elf tisa tu, mi ilikuwa ivyoivyo,mwisho wa siku nikarudishwa tarrif 1
 
Mimi napata unit 28 kwa elf 10.
 
ku tembelea 2.5 kwa siku ngumu mno, 'friji' pekee linalamba 1 kwa siku, 'taa za nje 4' za kawaida nazo zinalamba karibia 1 usiku kucha , jombaa hapo umebaki na nusu units,
Bado hamjapiga pasi
Microwave
Oven
Tv
Woii
 
ku tembelea 2.5 kwa siku ngumu mno, 'friji' pekee linalamba 1 kwa siku, 'taa za nje 4' za kawaida nazo zinalamba karibia 1 usiku kucha , jombaa hapo umebaki na nusu units,
fridge kwa masaa 24 karibia units 3 mkuu
 
Chief shukuru Mungu
Wenzenu tunalipa 10k unit 28.,

sielewi kwa nini unalalamika
 
Wewe unanunuaga wapi, huku ukitoa 10000 unapata units 28 Tu!
 

Unaruhusiwa kununua kabla hazijaisha? Ilimradi matumizi ni the so units per month?
 
Iyo elfu 10 kwa tariff 4 ama 0 mbona haiendani na hela iyo,nijuavyo mie ni kuwa Taiff 4 mwisho wa kununua ni elfu 9 na unapata unit 75,sasa izo 82 unapataje mwenzangu.
Na mimi Natumia hiyo kijijini Mkuu ndio namshangaa huyu alikuwa anapataje hizo units
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…