Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Kalemani ana jibu,muulizeTANESCO kuna shida kabisa kwanza umeme unakatika katika hovyo sawa hiyo moja lakin nyingine naona ghafla gharama za umeme zimepanda kimya kimya maana kwa Tsh.10000/ tulipata unit 82 lakini sasa mwez huu Tsh.10000 unit unapata unit 72.
Hii ni hujuma au kuna nini huko TANESCO? Maana TANESCO ndiko kuna wizi mkubwa sana huko. Hii ni kwa wale wateja wa matumuz chini ya unit 75 tarif 0
Polokwane tafuta hela.....usifurahie kuwa maskiniTANESCO kuna shida kabisa kwanza umeme unakatika katika hovyo sawa hiyo moja lakin nyingine naona ghafla gharama za umeme zimepanda kimya kimya maana kwa Tsh.10000/ tulipata unit 82 lakini sasa mwez huu Tsh.10000 unit unapata unit 72.
Hii ni hujuma au kuna nini huko TANESCO? Maana TANESCO ndiko kuna wizi mkubwa sana huko. Hii ni kwa wale wateja wa matumuz chini ya unit 75 tarif 0
TANESCO kuna shida kabisa kwanza umeme unakatika katika hovyo sawa hiyo moja lakin nyingine naona ghafla gharama za umeme zimepanda kimya kimya maana kwa Tsh.10000/ tulipata unit 82 lakini sasa mwez huu Tsh.10000 unit unapata unit 72.
Hii ni hujuma au kuna nini huko TANESCO? Maana TANESCO ndiko kuna wizi mkubwa sana huko. Hii ni kwa wale wateja wa matumuz chini ya unit 75 tarif 0
Tarrif 4TANESCO kuna shida kabisa kwanza umeme unakatika katika hovyo sawa hiyo moja lakin nyingine naona ghafla gharama za umeme zimepanda kimya kimya maana kwa Tsh.10000/ tulipata unit 82 lakini sasa mwez huu Tsh.10000 unit unapata unit 72.
Hii ni hujuma au kuna nini huko TANESCO? Maana TANESCO ndiko kuna wizi mkubwa sana huko. Hii ni kwa wale wateja wa matumuz chini ya unit 75 tarif 0
Tunaotumia unit chini ya 75 kwa mwezi tunauziwa unit 74.6 kwa TShs 9100/= tu.Umeme gani wa majumbani eti 10,000/= (ELFU KUMI) ni units 72 badala ya 28.1?
Niggas be serious,hiyo si Tanesco itakua ni Tanesco toka mbinguni huko
Wewe upo kwa watumiaji wakubwa. Kama matumizi yako ya mwezi kwa wastani hayazidi unit 75 fuatilia Tanesco wakuingize kwa watumiaji wadogo.Jamaa, ungekaa kimya tu, nyinyi mo nchi gani ?, mimi huku nilipo shs 10000 napata unit 28, sasa angalia usije haribu ulichonacho
Yaani nilikuwa nilikuwa nafuatilia huu mjadala nikajua Niko peke yangu wa 10000 kwa Units 28Sisi tusiokuwa na tarrif mnatuumiza roho tu jamani. Imagine sh. 10,000 tunapata units 28.2
Pale swala wanapojadiliana mbinu wanazotumia kumkwepa simba...huku simba akiwasikia na kuwaona live.😅Huwa nafanya hivi baada ya kuona hiyo hasara huwa nalipa tsh 5000 napata unit 41 halafu nanua tena tsh 5000 napata unit 41 jumla napata unit 82 inakuwa afadhari kuliko unit 77 kwa tsh 10,000 kwa mkupuo.
Unaruhusiwa kabisa ili mradi kwa mwezi husika usinunue umeme wa zaidi ya 10, 000,Unaruhusiwa kununua kabla hazijaisha? Ilimradi matumizi ni the so units per month?
PoleniSisi tusiokuwa na tarrif mnatuumiza roho tu jamani. Imagine sh. 10,000 tunapata units 28.1
Inshu sio kuwekwa tarrif 4, unapounganishiwa umeme kwa mala ya kwanza huwa wanakukopesha units 50, ambazo, zikimalizika lazima uende tanesco kununua mwingine, hapo ndio huona kuwa je hizo units umezitumia kwa muda gani?!kwani ili uwe kundi hilo ni lazima matumizi yako kwa siku yasizidi units 2.5 kwa siku, je wewe matumizi yako kwa siku ni units ngapi?jitathimini wewe kwanza?kigezo hicho unakiweza?Me mwezi uliopita nimeweka umeme kwangu ni huu wa REA,je na me naweza kuwa connected nikawa napata units hizo 70 kwa 10k?
Saivi ni unit 10 tuInshu sio kuwekwa tarrif 4, unapounganishiwa umeme kwa mala ya kwanza huwa wanakukopesha units 50, ambazo, zikimalizika lazima uende tanesco kununua mwingine, hapo ndio huona kuwa je hizo units umezitumia kwa muda gani?!kwani ili uwe kundi hilo ni lazima matumizi yako kwa siku yasizidi units 2.5 kwa siku, je wewe matumizi yako kwa siku ni units ngapi?jitathimini wewe kwanza?kigezo hicho unakiweza?
Heeee!!ina maana wameshusha hivyo?Saivi ni unit 10 tu