Universal-soldier
Member
- Dec 27, 2020
- 43
- 70
Chibu domo anaingiaje hapa???Chibu Domo akikuomba chochote utamnyima kweli ????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chibu domo anaingiaje hapa???Chibu Domo akikuomba chochote utamnyima kweli ????
Wcb na wasafi media ni vitu viwili tofauti. Kafute ulipoandika.Nimeongelea wasafi media na ndiyo maana ni karefer media.
Basi sawa
Naelewa hilo nilijua atakayesoma ataelewa kwakuwa basically nilikuwa naongelea mediaWcb na wasafi media ni vitu viwili tofauti. Kafute ulipoandika.
Ule mshepu ulipotelea sijuiHuyo mbona tokea yupo FNL EATV na Sam Misago kipindi hiko ana bonge la shepu ,alikuwa anavaa nguo za kihasara hasara.
Mimi mwenyewe sijui imekuaje.Ule mshepu ulipotelea sijui
Ungemalizia hii comment yako bila hata kuuhusisha mjani, hasa ukizingatia kuwa hata wewe huna uhakika. Kwanini usiseme labda alivimbewa sana ubwabwa?Yeah kuingia na chupi inaweza isiwe tatizo ila kama show iko live naona kuna tatizo. Then kumbuka Afande Sele alishawahi kuvua nguo jukwaani na akabakiwa na boxer na kuna baadhi ya watu wanamlaumu mpaka leo na kusema kuwa huenda mjani ulimpanda kichwani.
Ule mshepu ulipotelea sijui
Sio mpenzi wa kufatilia hivyo vitu ndugu..M follow basi mkuu.
Ohooooo...mbaazi tena?nilishasikia hili..inawezekana pia ni njaa tu labda+pombe na mibangi anayovutaMambo ya mbaazi sio?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa event inaitwa Tigo, nyinyi mnategemea nini?
Jiji Money ni nani?
Acha uchawa, sijawahi ona nyimbo za Harmonize WasafiHiyo show ni ya wasafi media sio wcb.
Halafu hao wasanii wote huwa wanatumika pia na media nyingine tofauti na wasafi isipokuwa hao wasanii wa wasafi tu.
Kuhusu kuua vipaji hiyo ni real kuna media zinakuzima kabisa ila sio wasafi. Wao wana play nyimbo zote hadi medicre inapigwa pale.
Mimi nita flirt na wewe Mnyamwezi wangu.Gigy alishasema ana flirt na Diamond