Gigy Money kafanya nini huko kwenye ziara ya Tumewasha na Tigo?

Gigy Money kafanya nini huko kwenye ziara ya Tumewasha na Tigo?

Kavaa tight dress yenye rangi ya mwili, imechorwa Ziwa na chuchu na Uke . Hii Siyo poa vazi kama hili siyo la kuvaa kwenye show jiji analoishi Mkuu wa Nchi na Viongozi wengine. Hili vazi angevaa Eneo kama Casino, night Clubs au Chumbani kwake
 
Hiyo ni nidhamu ya woga, eti mkuu wa nchi! Wabongo wana mambo ya kizamani sana. Yaani mtu asivae chupi yake kisa yuko Dodoma?
 
Huwa siwaelewagi hao WCB unaweza vipi mpa demu kichaa Kama yule
Chief!

Mileage! Mileage! mileage!

Hicho ndyo muhimu kwa sasa

Wakitoka hpo wanaenda kuangalia YouTube huyo kichaa kawapa mileage ngapi mtandaoni.
 
eti Gigy money ni msaniii 🤣 🤣 🤣

nchi ngumu sana hii.
 
Kichaa wa kinyakyusa ktk ubora wake msieeeew.
 
Back
Top Bottom