Gigy Money kafanya nini huko kwenye ziara ya Tumewasha na Tigo?

Gigy Money kafanya nini huko kwenye ziara ya Tumewasha na Tigo?

Hii ndoo maana ya mitano tena😳. Meizi sita si kufilisiana huko sasa, afu kampeni hazina hata mwaka mmoja tangu ziishe na mmliki wa hiyo kampuni ndo alikuwa kidete kuomba ""wapinzani wataweza kweli.. awapiiiii🗣️"".

👉Mwanasiasa sio mwanzako sikuzote. ☹️.
 
Kavaa tight dress yenye rangi ya mwili, imechorwa Ziwa na chuchu na Uke . Hii Siyo poa vazi kama hili siyo la kuvaa kwenye show jiji analoishi Mkuu wa Nchi na Viongozi wengine. Hili vazi angevaa Eneo kama Casino, night Clubs au Chumbani kwake
Au akiwa biasharani kidimbwi beach
 
Screenshot_2021-01-05-17-09-03.jpeg
 
Wameshafungiwa tayari

Sijui Ni akina Nani walishauri demu kichaa Kama gigy money awepo kwenye hio concert
 
Nilivyoona hii picha juzi kwenye ac yake nikaiscreenshot kabisa maana sikuamini nilichokiona
JamiiForums-770985563.jpg
 
Ohoo Mama Myra,Wa kiranga alaliwi matanga sasa Myra atakula wapi na kazi ndo umeichezea hivii?Ona ulivyowaponza wenzako ajira zao.Mbwembwe nyiingi kwenye hamna dah inasikitisha sana.
Ila WASAFI wajiangalie sana hata watangazaji wao ni chenga tu wataendelea kuwaponza pasipo kuwa makini nao eti Juma Likole naye mtangazaji mfyuu.Na bado mitano tena.
 
Back
Top Bottom