Gigy Money kafanya nini huko kwenye ziara ya Tumewasha na Tigo?

Gigy Money kafanya nini huko kwenye ziara ya Tumewasha na Tigo?

Kosa la huyo Gigy money na kukifungia kituo kipi kimeathiri pakubwa na wengi. Kuna vijana wangapi wamekosa ajira wasafi tv. Hiyo sheria yao ilekebishwe na Kufanya maamuzi bila tathmini ni tatizo kwenye taifa letu
 
Huyo Demu alichofanya ni utovu wa nidhamu binafsi sijapenda,

Mbaya zaidi hakuna anachoimba Cha maana huyo ni Slay Queen na video Queen TU mziki kavamia.

Alianza mwenzake Anaitwa ........Rutty (Kama sikosei Jina lake), akaharibu Sasa kafuata yeye. Mbaya zaidi T.V inafungiwa ambayo ni ofisi ya vijana wenzetu.

Kila carrier Ina talanta ndani yake hata Kama anayeifanya ni kipofu usiige.

Ni wakati wa BASATA kukaa chini kuweka vigezo kabla ya mtu kuwa msanii, maana Kuna wimbi kubwa kwa wasanii uchwara ambao Wana effect kubwa kwa Jamii.

Mfano ikatokea baada ya adhabu kuisha ndani ya wiki moja Kuna msanii uchwara mwingine anarudia kosa lilelile na media ikafungiwa Tena hii itakuwa kuchezea maisha ya watu.
Acheni ushamba
 
Halafu jitu jinga kama wewe unaangalia miziki ya kina niki minaj 'na mashow yao kina beyonce 'na yanaonyeshwa kwenye tv station za kibongo 'na unashangilia kwa furaha kabisa 'na havifunguwi akifanya mbongo mnapayuka tu
 
Dadiii kakaushaa kama alivomkaushiaa Makondaa...!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ilaa hapana jiwe hatabirikii walahiii yani nimenyoosha mikono leo hii WCB wakufungiwa miezi sitaaa?????? Hapana hii too much..
 
Tuzungumzie ya Giggy ila sio kujifanya tunatetea ajira za wafanyakazi wa wasafi kisa imefungiwa, kuna nedia kibao zilifunguwa bila sababu zenye mashiko na tukakaa kimya utadhani walioajiriwa ni manyani... #Mi5 tena!
 
Hiyo picha iliyobandikwa ukii-zoom na kufanya tafsiri (photograph interpretation) vizuri, utapata jibu kwa nini TCRA imetoa adhabu hiyo.
 
Chukua suruali yoyote anayovaa dem wako kisha mpelekee mama ako, hapo ndio utajua si kila nguo inayovaliwa barabarani basi inatakiwa na mama ako avae. Uwe na adabu
Vipi kuhusu binti yako!? Yeye swadakta anavaa tu kitu ya gidy feza!?
 
Si mzuie 'na video za kimarekani kuonyeshwa mbona hamuzifungii na zinaonyeshwa tu 'na vituo hafingiwi
Mbona iko wazi wale ni wamarekani... Hatuwezi kuwapangia ya kwao.. ila hapa tutajipangia tu.
 
Gigy Money katumika kama kafara tu kuna tatizo somewhere. Au TCRA ni Mapadre wote na hawajawahi kuona hata porn hivyo wana definition yao ya uchi.

I can see wote wanashabikia hii issue not because ya Gigy kufanya hivi ila ni kwa sababu zao binafsi na Wasafi.
 
Back
Top Bottom