The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Ukikua utajua tu.Usikariri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukikua utajua tu.Usikariri
Unafahamu ni kosa kisheria kutazama, au kusambaza picha za utupu/ngono!?Gigy Money katumika kama kafara tu kuna tatizo somewhere. Au TCRA ni Mapadre wote na hawajawahi kuona hata porn hivyo wana definition yao ya uchi.
I can see wote wanashabikia hii issue not because ya Gigy kufanya hivi ila ni kwa sababu zao binafsi na Wasafi.
Ndg yangu..sheria haifanyi kazi hivyo unavyotaka wewe... Yaani ushikwe la wizi.. unapigwa mvua ..unageuka unaanza mbona mello huwa tunaiba nae hajashikwa na kufungwa!?? Huo sio utetezi...hivi yule msanii ROSA LEE anaishi kenya vile.. 🙄
Mtabweka kama mbwa koko wa Tandale but tisiaraei wameshamaliza kazi 😀TCRA hawana kazi za kufanya. Bibi na babu zao walikua wanatembea matako wazi kabla ya mkoloni kuwaletea kile wanakiita 'maadali ya mtanzania'.
Ni utumwa wa kifikra, uhafidhina, roho mbaya na ushamba tu.
unazungumzia sheria au umereply tu tujibizane?Ndg yangu..sheria haifanyi kazi hivyo unavyotaka wewe... Yaani ushikwe la wizi.. unapigwa mvua ..unageuka unaanza mbona mello huwa tunaiba nae hajashikwa na kufungwa!?? Huo sio utetezi...
Unajuaje huenda na huyo mwingine adhabu yake inaandaliwa!?
Kuna chakujibizana hapo!? Nishakufahamisha basi. Unataka ujibu nini!?unazungumzia sheria au umereply tu tujibizane?
Halafu jitu jinga kama wewe unaangalia miziki ya kina niki minaj 'na mashow yao kina beyonce 'na yanaonyeshwa kwenye tv station za kibongo 'na unashangilia kwa furaha kabisa 'na havifunguwi akifanya mbongo mnapayuka tu
Mkuu hupingwi ila ivi vitu viko kwenye sheria na wanachojaribu ni kuismamia. Ili asije mwingine kufanya ikaonekana wasafi walibebwa kasome EPOCA 2010 utaiyona sheria hiyo.Nikiri kwamba mimi sikutazama live show ya Giggy Money iliyorushwa na Wasafi TV ambayo TCRA hawakuipenda.
Lakini kupitia platforms tofauti za social network nimeweza kuona picha ya Giggy akiwa kwenye vazi fulani hivi inayojadiliwa sana kwamba ndiyo alikuwa amevaa wakati wa show (picha ipo chini hapa).
Binafsi sijaona tatizo na vazi lile. Vazi limebuniwa vizuri linaonesha maungo ya Giggy vizuri kabisa. Shida iko wapi?
Mbona ndiyo hayo mavazi nayaona bichi, kwenye swimming events na maahindano ya mamiss. Bila kusahau huko kwenye mabaa, mitaani n.k. Sasa ninyi TCRA mnalinda maadili ya watazama TV tu?
Mko dunia gani nyie? Mnataka wasanii wavae madela na mashuka?
Halafu huu unafiki tutauacha lini watanzania? Hivi kweli tukipekuwa simu zenu ninyi mnaodai kukerwa na picha za Giggy hatutakuta picha za "pilau"?
Ninyi mnaojitia kukirihishwa na picha za Giggy ndiyo ninyi wenye nyumba ndogo na michepuko kama yote. Hayo ni maadili? Lkn mkisimama majukwaani mwajitia wasafi kama malaika.
Kama kweli tunataka kulinda maadili basi tuzuie uchafu kila idara, ofisi, sehemu za starehe, vyombo vya usafiri na kwingineko. Katika hili kuna kitu hakiko sawa.
Uwezo huo upo mbona china waliweza kupiga marufuku vituo vyao vya television kuonesha nyimbo za lady gaga? Kwann sisi tusiweze?Mbona iko wazi wale ni wamarekani... Hatuwezi kuwapangia ya kwao.. ila hapa tutajipangia tu.
Mkuu hii imekuwa kama mbinu ya kutafuta kiki.. ndo maana wanarudia.Huyo Demu alichofanya ni utovu wa nidhamu, binafsi sijapenda.
Mbaya zaidi hakuna anachoimba Cha maana huyo ni Slay Queen na video Queen TU mziki kavamia.
Alianza mwenzake Anaitwa .....Rutty (Kama sikosei Jina lake), akaharibu Sasa kafuata yeye. Mbaya zaidi TV inafungiwa ambayo ni ofisi ya vijana wenzetu.
Kila career ina talanta ndani yake hata kama anayeifanya ni kipofu usiige.
Ni wakati wa BASATA kukaa chini kuweka vigezo kabla ya mtu kuwa msanii, maana Kuna wimbi kubwa kwa wasanii uchwara ambao wana effect kubwa kwa Jamii.
Mfano ikatokea baada ya adhabu kuisha ndani ya wiki moja kuna msanii uchwara mwingine anarudia kosa lilelile na media ikafungiwa. Tena hii itakuwa kuchezea maisha ya watu.
Ingekuwa jambo jema.. ila.kwa kuanza hapa tu home pawe tofauti.. watoto waone kabisa kuna utofauti wa msanii wa kitanzania na huyo wa Gaga... Na ajue huko nje wanatembea uchi ..ila sisi twajisitiri... Italeta ukomavu wa kimaadili.Uwezo huo upo mbona china waliweza kupiga marufuku vituo vyao vya television kuonesha nyimbo za lady gaga? Kwann sisi tusiweze?
Ingekuwa jambo jema.. ila.kwa kuanza hapa tu home pawe tofauti.. watoto waone kabisa kuna utofauti wa msanii wa kitanzania na huyo wa Gaga... Na ajue huko nje wanatembea uchi ..ila sisi twajisitiri... Italeta ukomavu wa kimaadili.
You approach is impaired..Hio haina maana yeyote kimaadili, hapo nisawa na kukemea watoto wako kutukana matusi wakati huo huo unashangilia matusi ya nguoni yanayo tukanwa na watoto wa jirani yako mbele ya watoto wako