Gigy Money kafanya nini huko kwenye ziara ya Tumewasha na Tigo?

Ungemalizia hii comment yako bila hata kuuhusisha mjani, hasa ukizingatia kuwa hata wewe huna uhakika. Kwanini usiseme labda alivimbewa sana ubwabwa?
 
Sasa event inaitwa Tigo, nyinyi mnategemea nini?
 
Acha uchawa, sijawahi ona nyimbo za Harmonize Wasafi
 
WAMUAAAAAAAAACHEEEEEEE ILI TUIONE ILE MIKUNJO YA PAPA ILIVYONONA
 
Nimezoea kuona umbea kutoka kwa pisi kama warumi n.k sasa huu umbea dah hata picha hamna dah ebu usiingilie fani za watu ww baki mpenz mcomment kama mm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…