Gigy Money kafanya nini huko kwenye ziara ya Tumewasha na Tigo?

Unafahamu ni kosa kisheria kutazama, au kusambaza picha za utupu/ngono!?

Ikitokea umekamatwa kwa kuvimba JF kuwa porn ni kitu cha kawaida, utasema kunashida mahali!? System inakuonea wivu 🙂 ?

Hizi sheria zipo na kanuni zake za adhabu... Wala sio matamko ya kisiasa.. tii sheria bila shuruti.. watanzania tumedekezana sana... Hiyo ndio shida kubwa.. kupindisha pindisha mambo kisiasa.
 
Tulia wewe, tumechelewa saaaaaaana.

Magufuli piga kaziiiii
 
Ni kweli kosa lilifanyika na wahusika walikiri kosa na kuomba radhi kwa mamlaka husika wakati show ikiendelea. Lakini je, mamlaka husika wamefanya impact assessment wakati wanatoa adhabu ya kuifungia Wasafi TV kwa miezi sita ?
 
hivi yule msanii ROSA LEE anaishi kenya vile.. 🙄
Ndg yangu..sheria haifanyi kazi hivyo unavyotaka wewe... Yaani ushikwe la wizi.. unapigwa mvua ..unageuka unaanza mbona mello huwa tunaiba nae hajashikwa na kufungwa!?? Huo sio utetezi...

Unajuaje huenda na huyo mwingine adhabu yake inaandaliwa!?
 
TCRA hawana kazi za kufanya. Bibi na babu zao walikua wanatembea matako wazi kabla ya mkoloni kuwaletea kile wanakiita 'maadali ya mtanzania'.
Ni utumwa wa kifikra, uhafidhina, roho mbaya na ushamba tu.
Mtabweka kama mbwa koko wa Tandale but tisiaraei wameshamaliza kazi 😀
 
Ndg yangu..sheria haifanyi kazi hivyo unavyotaka wewe... Yaani ushikwe la wizi.. unapigwa mvua ..unageuka unaanza mbona mello huwa tunaiba nae hajashikwa na kufungwa!?? Huo sio utetezi...

Unajuaje huenda na huyo mwingine adhabu yake inaandaliwa!?
unazungumzia sheria au umereply tu tujibizane?
 
Halafu jitu jinga kama wewe unaangalia miziki ya kina niki minaj 'na mashow yao kina beyonce 'na yanaonyeshwa kwenye tv station za kibongo 'na unashangilia kwa furaha kabisa 'na havifunguwi akifanya mbongo mnapayuka tu

Mbona umetaja show za malaika wa bwana kabsa, sema show na videos za lady gaga
 
Mkuu hupingwi ila ivi vitu viko kwenye sheria na wanachojaribu ni kuismamia. Ili asije mwingine kufanya ikaonekana wasafi walibebwa kasome EPOCA 2010 utaiyona sheria hiyo.
 
Mbona iko wazi wale ni wamarekani... Hatuwezi kuwapangia ya kwao.. ila hapa tutajipangia tu.
Uwezo huo upo mbona china waliweza kupiga marufuku vituo vyao vya television kuonesha nyimbo za lady gaga? Kwann sisi tusiweze?
 
Mkuu hii imekuwa kama mbinu ya kutafuta kiki.. ndo maana wanarudia.
 
Uwezo huo upo mbona china waliweza kupiga marufuku vituo vyao vya television kuonesha nyimbo za lady gaga? Kwann sisi tusiweze?
Ingekuwa jambo jema.. ila.kwa kuanza hapa tu home pawe tofauti.. watoto waone kabisa kuna utofauti wa msanii wa kitanzania na huyo wa Gaga... Na ajue huko nje wanatembea uchi ..ila sisi twajisitiri... Italeta ukomavu wa kimaadili.
 
Hio haina maana yeyote kimaadili, hapo nisawa na kukemea watoto wako kutukana matusi wakati huo huo unashangilia matusi ya nguoni yanayo tukanwa na watoto wa jirani yako mbele ya watoto wako
 
Hivi TCRA kabla hawajafungia kituo huwa wanatafakari Kwa kina madhara yake Kwa Uchumi Wa Jamii na nchi Kiujumla?

Binafsi pamoja na kutokuwa mdau wa Hizo Wasafi Media bado siamini kuwa hii tabia ya fungia fungia ina afya njema Kwa nchi kiujumla.
 
Hio haina maana yeyote kimaadili, hapo nisawa na kukemea watoto wako kutukana matusi wakati huo huo unashangilia matusi ya nguoni yanayo tukanwa na watoto wa jirani yako mbele ya watoto wako
You approach is impaired..
Duniani hatuwezi kuwa na namna moja ya kuishi.. and one should always be informed of how others live...ili wakikutana kusiwe na ile inaitwa culture shock..

Mimi Kidini sili kitimoto, lakini nilifunzwa tangu mtoto Kuwa wako wakristo wanaokula kitimoto... Hainioffend ninapokutana na wanaokula kitimoto, na huwa ninasema vizuri kabisa, very politely and respectful "I don't eat that"

Kama nisingefunzwa hilo ningeamini duniani people don't eat pork.. imagine my surprise nikionana na mazingira where people eat..

Wewe wa huko nje/jirani tukana as much as you want... Lakini weye under my roof...jaribu uone ntakavyo kupiga mswaki na steel wire. Ukikua ukaondoka nenda katukane tani yako...

Na sisi ukiona vyupi ndio fani yako ..inapaa unashuka kwa Trump ..unavaa vyupi ikibidi shuka uchi kabisa.. uone TCRA watafanya nn..

Huwezi sema hiki ni chema kama kibaya hakipo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…