Gilead Teri: Sera za Uchumi za Rais Samia Zavutia Uwekezaji wa Trilioni 20 ($7.7b). Amfananisha na Deng Xiaoping Baba wa Uchumi wa China

Nchi ambayo hata viti vya kukalia walimu ni shida watu wanasema sera zake kiuchumi zinaendana na China?
 
Ngoja waje wafuasi wa chama fulani waje kubisha yaan wao kila kitu ni kubisha sijui wana nn
 
Tatizo kubwa la sisi watanzania ni kutojikubali. Ifike wakati tujipongeze kwenye maeneo tunayofanya vizuri na tujikosoe na kujirekebisha kwenye maeneo tunayofanya vibaya. Tusisifie kila kitu wala tusisilibe kila kitu
Tunaweza kujidharau ila kwa kipindi hiki tunafanya vizuri kuwazidi majirani zetu. Ila tusisahau kwa rasilimali, nguvu kazi na uoto na hali ya hewa tuliyonayo tunaweza kufanya vzr zaidi. Shime vijana tuamka tuchakarike bado tumelala mnooo, wengi tunastuka tukifika miaka 30 ama 40 wakati ilibidi kuanzia 18-25 vichwa viko moto
 
Naona kama Jamaa Gilod Teri ni kama anasuka namba ivi, hio miradi tunayoaminishwa ipo na ni mpya , ipo wapi? Wameajiri nani? Maaana wakifanya intavyuu wanaonesha tu miradi ya zamani toka enzi za mkapa, sijui lakini hawa majamaa wanaongea kingereza kingi ni wa kuwaangalia kwa makini.. juzi zito kampiga swali ambalo kila mtu anajiuliza ila hajalijibu. Jamaa yuko smart ila hii nchi ngumu mno haina majibu mepesi mepesi ๐Ÿคฃmajuzi tu mabalozi wote waliandika barua kwamba wawekezaji wao wanasumbuliwa na tra asa purpose ya tic ni nini
 

Attachments

  • IMG_2112.jpeg
    1.2 MB · Views: 4
Wewe upo Mkoa gani kwanza nikutajie miradi ya huko?

By the way Iko Kila Mkoa japo Mingi ipo Dar,Pwani,Arusha,Dom,Tanga na Mwanza.

Mwisho Gilead alijibu Hilo swali fuatilia conversation hizo na Kwa ushahidi akamwambia Zito awe anapakua bulletin ya Kila robo inaonesha mtawangiko wa miradi.

Usichokijua ni kwamba hata gorofa Mpya inayoanzia mil.500 ni sehemu ya miradi maana mnaweza kuwa mumekariri kwamba miradi ni viwanda tuu nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ