Goba - Mbezi kuwa zaidi ya Sinza, Tabata

Nyie ndio huwa mnakariri aisee na hamtaki kutembea. Uliza wenzako wanaotembea watakwambia na sababu kwanini Sinza itaachwa nyuma na hata saizi imeanza kupoa sana kibiashara. Mbezi - Goba inamaeneo mengi ya kando ya barabara watu walinunua wakayareserve na sasa yanajengwa kwa standard nzuri ya kibiashara. Kwa mwaka mmoja tu huu imekua kwa kasi sana sasa kama wewe unabisha bisha tu utajikana baadae
 
Mbezi - Goba
Goba njia nne -Madale Ni moto wa kuotea mbali. Kasi ya ukuaji ni kubwa sana
 
Picha iko wapi ili tumalize ubishi mkuu? Mda mungine prove ya picha au video ni muhimu ktk kukazia jambo, ila ukiweka maneno matupu watu ambao waliifahamu miaka hiyo ikiwa pori hawawezi kukuelewa abadani.
 
Mambo ya kusutana tena?
 
Mkuu unaweza ukawa unabisha na watu ambao hiyo Goba mara ya mwisho kuiona ni 2010
 
Tabata is overrated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…