Natena wiza
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 428
- 676
Unaposema low life niggers, una maanisha wale waliowapigia kura akina Sugu na P. Jay?Hakuna mtu mwenye akili timamu ampigie diamond kura.
Ni low life niggers kama wewe ndo mnamuona role model wenu.
Ila ni mitandao ya mabeberu. Kama ulisoma ile petition ukailelewa neno kwa neno na una waelewa misimamo yao ilivyokuwa kwa waliotajwa mule basi kaka Diamond kwisha habari yake.Sio rahisi kama anavyodhani. Hiyo sio mitqndao ya chadema...
Brainless creature striving so hard to look smart online. What a waste.Who I'm I to judge.
Nyie na wayaha akili zenu si za mnunurisho
Mechi ishaisha mapemaaaaaPia Mh Lema ameonekana katika mtandao wa Twitter akipigia kampeni mchakato wa kumuondoa Diamond Platnumz katika tuzo za BET.
View attachment 1810930
Watamuua kijana wa watu mwaka huu!
Hakuna mtu mwenye akili timamu ampigie diamond kura.
Ni low life niggers kama wewe ndo mnamuona role model wenu.
Chadema inaingiaje hapo?Chadema kwa siasa hizi,dola hamtoweza shika kamwe
Una akili za kitoto.Naona unalazimisha kalio lako kutafuna muwa na sio kazi lililoumbiwa, endelea.
Wewe ni mgumu sana kuelewa. Nimekwambia msanii kuwa ccm siyo kosa. Kosa ni kushabikia utawala kandamizi. Mbona wenzake walinyamaza na ni wanaccm?Sasa Kama Ni hvyo waondoeni wasanii wote wawe cdm CYO yeye peke ake
Mzee mbona wasanii wengi wapo CCM?Huku ni kuingilia uhuru wa mtu.
Mondi ana haki ya kushabikia chama chochote cha siasa na pia kumshabikia mwanasiasa yeyote aliyewekwa na chama chochote cha siasa.
Kushambulia kazi yake kisa tu ni mshabiki wa chama ambacho Lema hakubaliani nacho sio haki hata kidogo.
Huu mtindo mpya wa kuhusisha maisha ya mtu na ushabiki wake wa kisiasa utatuvuruga sana watanzania.
Wale wanafanya vile kwakuwa wanakuwa na kundi kubwa la wananchi nyuma yao, hapa Tz wananchi ni wapumbavu tu, atajitokeza kisha akishikwa ntaanza kumcheka tena.Mzee mbona wasanii wengi wapo CCM?
tatizo kipindi watu wanatekwa yeye akatoa wimbo wa " nikae kimya"
Aangalie wakina Davido wanafanyaje kunapokuwa na mambo ya kitaifa
Nadhani siasa za Tanzania zinachukua Sura mpya......
Chief embu fikiria kidogo basi!!Hivi hawa hawajui kuwa Diamond is bigger than chadema. hivi diamond agombee urais na mbowe/lissu/lema nani atapata kura nyingi
Achaguliwe tuzo yeyote utaona Moto wake .Inadhihirisha jamaa ni mkubwa mno. Mbona yule mwenzie haguswi.
Ni upuuzi kutaka kila mtu awe na mtazamo kama wako.
Mbona kipindi Roma ametekwa hakuchekwaWale wanafanya vile kwakuwa wanakuwa na kundi kubwa la wananchi nyuma yao, hapa Tz wananchi ni wapumbavu tu, atajitokeza kisha akishikwa ntaanza kumcheka tena.