Godbless Lema aazimia kuondoa kazi za Diamond YouTube/Facebook


Watashindanaaaa lakini hawatashinda! Mungu hatoki kijijini kwenu ww Lema!
 
Hivi demokrasia, haki na uhuru wanaopigania Chadema ni upi sasa? Je Diamond haruhusiwe kushabikia chama chochote?
 
Usimwekee Lema maneno mdomoni. Hakuna sehemu Lema kasema chama fulani. Amesema dikteta Magufuli.
 
Naam ana uhuru wa kuungana na madikteta na kuwa sehemu ya ugandamizaji wa haki za watu. Hata akina Chakachaka, Brenda, Lucky Dube walikuwa na uhuru wa kuwapigia kampeni Makaburu, siyo?
Hivi demokrasia, haki na uhuru wanaopigania Chadema ni upi sasa? Je Diamond haruhusiwe kushabikia chama chochote?
 
Ukitaka kujua baadhi ya wabongo wenye akili fupi soma hii mada
 
Mshenz Sana huyu kijana
Ngoja akipate
 
Inasikitisha hiz tuzo mpk zipite mond kayaona
 
Sijui ila nahisi Lema sasa kama kachanganyikiwa na mfumo wa siasa wa sasa uko tofauti na yeye anavyokwenda!
Watanzania ni kama wengi hawapendi tena siasa na mihemko wanatamani mabadiliko yanayoweza kuwajengea tija kama taifa sasa sielewi mtu kama Lema kwenda kumvuruga Diamond kisa anauhuru wa kushabikia alichonacho kama ni sawa kifupi hiyo vita haiwezi atapoteza asubuhi kweupe! wivu ni kitu kibaya sana.
 
Mama Samia hana adui
Angekuwepo Maguful wala wasingekuwa wana habari na Daimond wangekuwa busy na magu
sasa ndo naamini, magu alikuwa na influence kubwa hapa nchini na wa pili ni diamond, fullstop..!!! siku zote mti uliofungasha matunda ya kucheba haukosi kupitiwa na warusha mawe.! ila all in all mond anafaidika sana kwenye hili sakata kuliko atakachopoteza... hili sakata limemfanya awe maarufu na ndo the talk of the town hapa mjini... ndo maana kaamua kulikalia kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…