Godbless Lema acha uongo na utapeli wa kisiasa. Taifa letu halijawahi kuwa na mkimbizi kama wewe. Ulikosa Ubunge ndio ukatafuta fursa

Lini wewe ulikuwa mkimbizi wa kisiasa? Mbona ulipokuwa Mbunge wa Arusha mjini hukukimbia? Ulipokosa Ubunge ndio ukakimbia?

Acha uzushi
πŸ‘‡
View attachment 2488095
Wewe ndiye muongo au ulikuwa bado haujazaliwa, kuna watanzania wengi walikimbilia Mombasa Kenya baada ya uchaguzi mkuu ambao baada ya CCM kushindwa ikaamus kupora ushindi kama kawaida.
 
Lini wewe ulikuwa mkimbizi wa kisiasa? Mbona ulipokuwa Mbunge wa Arusha mjini hukukimbia? Ulipokosa Ubunge ndio ukakimbia?

Acha uzushi
πŸ‘‡
View attachment 2488095
Lini wewe ulikuwa mkimbizi wa kisiasa? Mbona ulipokuwa Mbunge wa Arusha mjini hukukimbia? Ulipokosa Ubunge ndio ukakimbia?

Acha uzushi
πŸ‘‡
View attachment 2488095
Lema arudi na kulipa madeni yake hata nchi inadaiwa na inalipa taratibu , Lema arudi na alipe madeni nchi yetu haijawai kuwa na mkimbizi aina yake .
 
Kwa muunganiko huu kuna kila dalili ya shakha kuwa kuna watu waliungana kuhakikisha wanamuondoa jiwe! Na muungano huu unashirikisha vyama vyote vya siasa na wafanyabiashara wakubwa ili kulinda madhambi yao.
Eti wazee walikaa wakasema hapana.
 
Ila mimi najiuliza kwanini Mbowe nae maisha yake hayapo hatarini kiasi cha kukimbia nchi ili kujihifadhi kama wenzie?
Kweli Mkuu, yaani asikimbie Mbowe alafu akimbie uyu tapeli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ficha ujinga wako ww. .umepata kuisoma au kuisikia historia ya Oscar Kambona ??? ..nenda kaulize matanga wenzako
Sasa utamfananisha Kambona na uyo tapeli kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nabii Lema alitabiri kwamba Magufuli atakufa na akafa kweli , Unabii wake umetimia
Kifo hakitabiriwi sababu kifo unakivaa siku unayozaliwa. Ndesamburo yuko wapi? Dada ake Lisu yuko wapi?
 
Huyu alitabiriwa kufa kwa kipindi fulani kifupi sana na ikawa .

Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
Si kweli. Ni muda mrefu ulipita. Na kauli ile ilichochewa na chuki. Mbona alisema ndugai anakufa aage kabisa familia na ndugai anadunda huku akila mshahara wa ubunge na mshahara wa spika mstaafu ikiwemo marupurupu mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…