Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Watu wengine mmejaa ufala tuu, hata kuwajibu ni kama upuuzi tuuLini wewe ulikuwa mkimbizi wa kisiasa? Mbona ulipokuwa Mbunge wa Arusha mjini hukukimbia? Ulipokosa Ubunge ndio ukakimbia?
Acha uzushi
👇
View attachment 2488095