Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Hamuez kubali kuhusu uovu mliofanya awam yenu! Na sasa mnajaribu san kupotosha ukwel kuhusu wapinzani kutekwa na kutaka kuuwawa!! Lisu ni mfano halisi, tena hata kumuombea watanzania walizuiliwa na devil worshipers!!Lini wewe ulikuwa mkimbizi wa kisiasa? Mbona ulipokuwa Mbunge wa Arusha mjini hukukimbia? Ulipokosa Ubunge ndio ukakimbia?
Acha uzushi
👇
View attachment 2488095
Hebu tukumbushane alisemaje?Huyu alitabiriwa kufa kwa kipindi fulani kifupi sana na ikawa .
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
Kwani hiyo mission inaandaliwa na wao wenyewe? Hiyo mission wao ni sehemu tu ila wenyewe walikuwa watumishi wa serikali tena ngazi za juu kabisa, wafanyabiashara na ao wengine wa nje ya chama, ila usiwachukulie poa Mbowe na Lema! Ni watu hatari sanaHawa uwezo wa kujiunga eti wamuue rais wa nchi
Watu hatari kwa nani?Kwani hiyo mission inaandaliwa na wao wenyewe? Hiyo mission wao ni sehemu tu ila wenyewe walikuwa watumishi wa serikali tena ngazi za juu kabisa, wafanyabiashara na ao wengine wa nje ya chama, ila usiwachukulie poa Mbowe na Lema! Ni watu hatari sana
Kwanini hajakimbia nchi kunusuru maisha yake kama Lissu au Lema?Sio mbowe mliyembambikia kesi ya ugaidi??
Alisema naye alikimbia kunusuru maisha yake? Na ilikuaje akarudi bila kuhakikishiwa usalama wake na rais Samia?..Mbowe naye alikimbia.
..Magufuli alipokufa akarudi.
..akabambikiwa kesi ya ugaidi.
Mie nitajuaje shughuli zake Mbowe na ratiba zake? Maana ni mfanya biashara nje ya siasa.Unajua mpaka Magufuri anafariki Mbowe alikuwa wapi na kwa nini?.
Ulimuona Mbowe popote katika harakati za msiba wa Magufuri mpaka mazishi?.
Mbona hiyo awamu ya wauaji ilishapita, na mwamba Wala hataki hata kuzungumzia issue ya kurudi. Kazi ya mama Ina maana LEMA HAIONI?Ukweli mnaujua.
Awamu iliyopita ilikuwa ya WAUAJI.
Ila tunaambowa Magufuli alikuwa anauwa tu hovyo wanasiasa.Maisha ya Mbowe hayakuwa hatarini kwa sababu Mbowe hakuwahi kutabiri kifo cha mtu.
na hii kitu itawatesa daima muda utaongea tuombe uzimaWalikuwa watabiri au majangiri waliungana kusuka mpango kabambe wa kumuondoa jiwe? Unakumbuka ile picha aliyokapost Zitto baada ya Jiwe kuletewa moshi kule Ruangwa? Zitto alimpost Samia akikagua gwaride na akaandika sasa zamu yako imefika! Kipindi hicho taarifa zilizopo mtaani kuwa jiwe kakikbizwa South Africa na yupo mahututi.
Jana hapa JF nineona nyuzi moja iliandikwa mwaka 2018, kuna jamaa alikuja kukoment kuwa 2023 hatofika, tutakuwa tayar tuna Rais mwanamke!
Kwa muunganiko huu kuna kila dalili ya shakha kuwa kuna watu waliungana kuhakikisha wanamuondoa jiwe! Na muungano huu unashirikisha vyama vyote vya siasa na wafanyabiashara wakubwa ili kulinda madhambi yao.
Ukimbie tu bila sababu?Imagine muda mbowe aliosota gerezani kwa kesi ya kusingiziwa ya ugaidi
Nu heri angekimbia baada ya uchaguzi wala yasingemkuta
Dalili yenye kuonyesha kafa kwa sababu ya uonevu ni ipi?Alitabiri atafia madarakani kwa uonevu wa kukatilii uhai wa wengine!! Na Mungu akamchomoa roho kweli,
Katili pumzi ya mwisho akaivuta, hatimaye akaenda kuwa kiongozi wa mashetani!!
Ninachojua Mimi NZI Huwa anafia kwenye kidonda. Lkn pia MWIZI Kuacha uharamia wake ni shughuli pevu. Walamba Asali, wezi, wahujumu uchumi, walanguzi na matapeli WA Kila namna wamejiunganishia mirija saiv. Wananyonya na kufyonza kama hawana Akili njema. Kushangilia kifo Cha Kiongozi ni UJUHA WA KIWANGO CHA LAMI. Kila mtu anamapungufu na Ubora wake.Kwa kifupi Bwana ameitendea haki Tz kwa yaliyotokea yote
Chawa wapya mnanguvu za farasi ladhaa kama sio wakadha,😂Lini wewe ulikuwa mkimbizi wa kisiasa? Mbona ulipokuwa Mbunge wa Arusha mjini hukukimbia? Ulipokosa Ubunge ndio ukakimbia?
Acha uzushi
👇
View attachment 2488095
Lakini kuna matanzania Mapumbavu yanamuona Lissu kama shujaaHata huyo Lisu hana ukimbizi wowote wa kisiasa, alikuja kugombea urais alivyo shindwa akaondoka mwenyewe kwa hiyariyake.
Kungekuwa na tishio lolote la kweli kwake asingerudi hapa kuzurura nchi nzima 24/7.
Hawawatu ni wanasiasa wamatukiotu wanajaribu kukuza mambo ili wapate kiki tu.
Lini wewe ulikuwa mkimbizi wa kisiasa? Mbona ulipokuwa Mbunge wa Arusha mjini hukukimbia? Ulipokosa Ubunge ndio ukakimbia?
Acha uzushi
[emoji116]
View attachment 2488095
Baada ya kubakia ndiyo mkaamua kumbambikia kesi ya ugaidi.Kwanini hajakimbia nchi kunusuru maisha yake kama Lissu au Lema?
Dalili yenye kuonyesha kafa kwa sababu ya uonevu ni ipi?
Alisema naye alikimbia kunusuru maisha yake? Na ilikuaje akarudi bila kuhakikishiwa usalama wake na rais Samia?