Godbless Lema acha uongo na utapeli wa kisiasa. Taifa letu halijawahi kuwa na mkimbizi kama wewe. Ulikosa Ubunge ndio ukatafuta fursa

Godbless Lema acha uongo na utapeli wa kisiasa. Taifa letu halijawahi kuwa na mkimbizi kama wewe. Ulikosa Ubunge ndio ukatafuta fursa

Lini wewe ulikuwa mkimbizi wa kisiasa? Mbona ulipokuwa Mbunge wa Arusha mjini hukukimbia? Ulipokosa Ubunge ndio ukakimbia?

Acha uzushi
👇
View attachment 2488095
Hamuez kubali kuhusu uovu mliofanya awam yenu! Na sasa mnajaribu san kupotosha ukwel kuhusu wapinzani kutekwa na kutaka kuuwawa!! Lisu ni mfano halisi, tena hata kumuombea watanzania walizuiliwa na devil worshipers!!
 
Hawa uwezo wa kujiunga eti wamuue rais wa nchi
Kwani hiyo mission inaandaliwa na wao wenyewe? Hiyo mission wao ni sehemu tu ila wenyewe walikuwa watumishi wa serikali tena ngazi za juu kabisa, wafanyabiashara na ao wengine wa nje ya chama, ila usiwachukulie poa Mbowe na Lema! Ni watu hatari sana
 
Kwani hiyo mission inaandaliwa na wao wenyewe? Hiyo mission wao ni sehemu tu ila wenyewe walikuwa watumishi wa serikali tena ngazi za juu kabisa, wafanyabiashara na ao wengine wa nje ya chama, ila usiwachukulie poa Mbowe na Lema! Ni watu hatari sana
Watu hatari kwa nani?
 
..Mbowe naye alikimbia.

..Magufuli alipokufa akarudi.

..akabambikiwa kesi ya ugaidi.
Alisema naye alikimbia kunusuru maisha yake? Na ilikuaje akarudi bila kuhakikishiwa usalama wake na rais Samia?
 
Unajua mpaka Magufuri anafariki Mbowe alikuwa wapi na kwa nini?.

Ulimuona Mbowe popote katika harakati za msiba wa Magufuri mpaka mazishi?.
Mie nitajuaje shughuli zake Mbowe na ratiba zake? Maana ni mfanya biashara nje ya siasa.

Unataka kusema nae alikimbia nchi kunusura uhai wake?
 
Walikuwa watabiri au majangiri waliungana kusuka mpango kabambe wa kumuondoa jiwe? Unakumbuka ile picha aliyokapost Zitto baada ya Jiwe kuletewa moshi kule Ruangwa? Zitto alimpost Samia akikagua gwaride na akaandika sasa zamu yako imefika! Kipindi hicho taarifa zilizopo mtaani kuwa jiwe kakikbizwa South Africa na yupo mahututi.

Jana hapa JF nineona nyuzi moja iliandikwa mwaka 2018, kuna jamaa alikuja kukoment kuwa 2023 hatofika, tutakuwa tayar tuna Rais mwanamke!

Kwa muunganiko huu kuna kila dalili ya shakha kuwa kuna watu waliungana kuhakikisha wanamuondoa jiwe! Na muungano huu unashirikisha vyama vyote vya siasa na wafanyabiashara wakubwa ili kulinda madhambi yao.
na hii kitu itawatesa daima muda utaongea tuombe uzima
 
Alitabiri atafia madarakani kwa uonevu wa kukatilii uhai wa wengine!! Na Mungu akamchomoa roho kweli,

Katili pumzi ya mwisho akaivuta, hatimaye akaenda kuwa kiongozi wa mashetani!!
Dalili yenye kuonyesha kafa kwa sababu ya uonevu ni ipi?
 
Kwa kifupi Bwana ameitendea haki Tz kwa yaliyotokea yote
Ninachojua Mimi NZI Huwa anafia kwenye kidonda. Lkn pia MWIZI Kuacha uharamia wake ni shughuli pevu. Walamba Asali, wezi, wahujumu uchumi, walanguzi na matapeli WA Kila namna wamejiunganishia mirija saiv. Wananyonya na kufyonza kama hawana Akili njema. Kushangilia kifo Cha Kiongozi ni UJUHA WA KIWANGO CHA LAMI. Kila mtu anamapungufu na Ubora wake.
 
Lema lile ni jambazi kubwa limetuibia sana magari yetu.
 
Hata huyo Lisu hana ukimbizi wowote wa kisiasa, alikuja kugombea urais alivyo shindwa akaondoka mwenyewe kwa hiyariyake.

Kungekuwa na tishio lolote la kweli kwake asingerudi hapa kuzurura nchi nzima 24/7.
Hawawatu ni wanasiasa wamatukiotu wanajaribu kukuza mambo ili wapate kiki tu.
Lakini kuna matanzania Mapumbavu yanamuona Lissu kama shujaa
Huyu jamaa hafai kabisa.Kwanza kitendo cha kulistaki taifa lake kwa Wazungu hicho kitu kilinifanya nimuone hafai kuwa tena ata mwenyekiti wa kijiji katika hii nchi
 
Lini wewe ulikuwa mkimbizi wa kisiasa? Mbona ulipokuwa Mbunge wa Arusha mjini hukukimbia? Ulipokosa Ubunge ndio ukakimbia?

Acha uzushi
[emoji116]
View attachment 2488095

Achana na Lema humuwezi kwa kila kitu shughulika kanza na Shaka hajui kama mchele imefikia TSh. 3,800

Msaidieni kumpa hali halisi mwambieni kula wali uswahilini ni issue skuizi

Chama hakijui mchele unauzwa shilingi ngapi sasa hivi halafu unashughulika na Lema we pimbi kweli shughulika na Chama chako kwanza ili kijue bei ya mchele kitaani
 
Alisema naye alikimbia kunusuru maisha yake? Na ilikuaje akarudi bila kuhakikishiwa usalama wake na rais Samia?

..Mbowe alirudi bila kuhakikishiwa usalama matokeo yake Ssh akambambikia kesi ya ugaidi.

..Ssh ni mtu wa kumchukulia kwa tahadhari. Kama aliweza kumbambikia kesi ya ugaidi ambayo hukumu yake ni kifo, je ana roho ya aina gani?
 
Back
Top Bottom