Una uhakika kuwa Mbowe hakukimbia?Kweli Mkuu, yaani asikimbie Mbowe alafu akimbie uyu tapeli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani kichefu chefuuu. Wanajihisi wana mandela.Kuna watu wanamwita yule dhalimu eti mwamba wao 😂😂😂😂😂
Wewe usipambane na mm, pambana na Mungu aliyetwaaNinachojua Mimi NZI Huwa anafia kwenye kidonda. Lkn pia MWIZI Kuacha uharamia wake ni shughuli pevu. Walamba Asali, wezi, wahujumu uchumi, walanguzi na matapeli WA Kila namna wamejiunganishia mirija saiv. Wananyonya na kufyonza kama hawana Akili njema. Kushangilia kifo Cha Kiongozi ni UJUHA WA KIWANGO CHA LAMI. Kila mtu anamapungufu na Ubora wake.
Kimada wa mwendakuzimu unatapatapa sana.Lini wewe ulikuwa mkimbizi wa kisiasa? Mbona ulipokuwa Mbunge wa Arusha mjini hukukimbia? Ulipokosa Ubunge ndio ukakimbia?
Acha uzushi
[emoji116]
View attachment 2488095
Uganda wanatambua Amin alikuwa kiongozi bora, na wote waliouawa walikuwa mamluki.Hata Idd Amin hakuua raia wake wote lakini alikuwa muuaji tu kama Jiwe. Sukuma gang muwe mnatumia akili hata kama akili ndiyo hivyo tena
Mtu mwenye madeni huyo ndio mwanaume wa kweli,Lema alikimbia madeni ya million 400.
Dawa ya deni ni kulipa Lema njoo ulipe
Kuna na mafeni ni sifa moja wapo ya wanaume, sasa kama huna madeni wewe nahisi ni ke na kama ni me basi una homoni za ke nyingi, kachunguze Hospital hata pale Mloganzila il upewe tiba mapema kabla hali haijawa mbaya zaidiGodbless Lema hana sifa hata moja ya mkimbizi wa kisiasa!
Godbless Lema ni mwanasiasa uchwara aliyekimbia madeni!
Rudi nyumbani ukabili madeni yako bwashee!
Kuwa na Madeni ni uanaume, hakuna Mchaga asie kuwa ba madeni, wajinga nyie mmejaa homoni za kike hadi mnaona kuwa na deni ni kosaInabidi arudi ayakabili madeni. Hakuna namna; hawezi kuendelea kujiita mkimbizi wa kisiasa kwa mazingira ya sasa.
Wewe ni Me au Ke? bila shaka ni Ke, make kudaiwa ni sifa moja ya wanaume,Lema kuna jamaa namfahamu anamdai Lema million 48
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Sawa Mama, ila kwa wanaume kuwa na mdeni ni kawaida sana, shida nyie Wanawake mnaona mwanaume kuwa ba madeni ni kosa sanaLema arudi na kulipa madeni yake hata nchi inadaiwa na inalipa taratibu , Lema arudi na alipe madeni nchi yetu haijawai kuwa na mkimbizi aina yake .
Kibobo Cha asaliIla mimi najiuliza kwanini Mbowe nae maisha yake hayapo hatarini kiasi cha kukimbia nchi ili kujihifadhi kama wenzie?
Utapeli ni sehemu ya wanaume, sema wewe Dasa sijui Mama au shangazi nikuite! Unaona madeni ni ishu sana?Kweli Mkuu, yaani asikimbie Mbowe alafu akimbie uyu tapeli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mume wangu hasingizii kwamba nchi inataka kumuua kama anavyozuga huyo zombie wenuKukopa ni sifa ya Mwanaume kamili, shida nyie wadada hamuwezi jua haya, Siku nyingine muulize Bwana ako kama ana mkopo au la
Sawa Dada,Hata huyo Lisu hana ukimbizi wowote wa kisiasa, alikuja kugombea urais alivyo shindwa akaondoka mwenyewe kwa hiyariyake.
Kungekuwa na tishio lolote la kweli kwake asingerudi hapa kuzurura nchi nzima 24/7.
Hawawatu ni wanasiasa wamatukiotu wanajaribu kukuza mambo ili wapate kiki tu.
Huyo ni Mdada saaa ukiendelea kubishana na Wadada utaumia bureUna ushahidi wa hayo madeni? Au umekaririshw na hao machawa wenzako?
Unasumbuliwa na wuvu na ujinga,Lakini japo lissu ana excuse sasa hiyo njemba imejituliza north pole ka panda haioni hata aibu. Hivi ingeshinda ubinge ingeenda kula poz huko ?
Move gani ya kufa kwa korona?Unabii Alioutoa Alikua Anajua Movie yote Ambayo ilikua imepangwa juu ya Rais wetu Magufuli.
Hawa na chama Chao wanajua kila kitu ndio maana wao ndio walikua wakwanza kutoa taharifa za Magufuli kufa.
Lete ule uzi mkuu...tena alielezea vzuri sana jamaa atakavyokufa chawa wakabezaNabii Lema alitabiri kwamba Magufuli atakufa na akafa kweli , Unabii wake umetimia
Ujambazi ni moja ya sifa za wanaume, sema kwa wewe Mdada sijhlui nikuite Mama au Bibi, huwezi jua hayaLema lile ni jambazi kubwa limetuibia sana magari yetu.