Godbless Lema acha uongo na utapeli wa kisiasa. Taifa letu halijawahi kuwa na mkimbizi kama wewe. Ulikosa Ubunge ndio ukatafuta fursa

Godbless Lema acha uongo na utapeli wa kisiasa. Taifa letu halijawahi kuwa na mkimbizi kama wewe. Ulikosa Ubunge ndio ukatafuta fursa

Ninachojua Mimi NZI Huwa anafia kwenye kidonda. Lkn pia MWIZI Kuacha uharamia wake ni shughuli pevu. Walamba Asali, wezi, wahujumu uchumi, walanguzi na matapeli WA Kila namna wamejiunganishia mirija saiv. Wananyonya na kufyonza kama hawana Akili njema. Kushangilia kifo Cha Kiongozi ni UJUHA WA KIWANGO CHA LAMI. Kila mtu anamapungufu na Ubora wake.
Wewe usipambane na mm, pambana na Mungu aliyetwaa
 
Hata Idd Amin hakuua raia wake wote lakini alikuwa muuaji tu kama Jiwe. Sukuma gang muwe mnatumia akili hata kama akili ndiyo hivyo tena
Uganda wanatambua Amin alikuwa kiongozi bora, na wote waliouawa walikuwa mamluki.
 
Godbless Lema hana sifa hata moja ya mkimbizi wa kisiasa!
Godbless Lema ni mwanasiasa uchwara aliyekimbia madeni!
Rudi nyumbani ukabili madeni yako bwashee!
Kuna na mafeni ni sifa moja wapo ya wanaume, sasa kama huna madeni wewe nahisi ni ke na kama ni me basi una homoni za ke nyingi, kachunguze Hospital hata pale Mloganzila il upewe tiba mapema kabla hali haijawa mbaya zaidi
 
Lema arudi na kulipa madeni yake hata nchi inadaiwa na inalipa taratibu , Lema arudi na alipe madeni nchi yetu haijawai kuwa na mkimbizi aina yake .
Sawa Mama, ila kwa wanaume kuwa na mdeni ni kawaida sana, shida nyie Wanawake mnaona mwanaume kuwa ba madeni ni kosa sana
 
Hata huyo Lisu hana ukimbizi wowote wa kisiasa, alikuja kugombea urais alivyo shindwa akaondoka mwenyewe kwa hiyariyake.

Kungekuwa na tishio lolote la kweli kwake asingerudi hapa kuzurura nchi nzima 24/7.
Hawawatu ni wanasiasa wamatukiotu wanajaribu kukuza mambo ili wapate kiki tu.
Sawa Dada,
 
Deni alikopa kwa nani, dhamana ilikua nini, kama hajalipa shitaka limefunguliwa wapi au mali ipi imepigwamnada? Nijibu hili kwanza kabla sijaleta vipengere vinavyofuata
 
Back
Top Bottom