UHURU JR JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 16,543 Reaction score 7,880 Jan 22, 2023 #141 Oroka msoro said: Mbowe alikimbilia Dubai akarudi baada ya JPM kufa Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app Click to expand... Kama tatizo lilikua JPM na ndio maana Mbowe alimkimbia na kurudi baada ya JPM kufariki, sasa kwa nini Lissu na Lema bado wanaogopa kurudi wakati Mbowe karudi na anaendelea na harakati?
Oroka msoro said: Mbowe alikimbilia Dubai akarudi baada ya JPM kufa Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app Click to expand... Kama tatizo lilikua JPM na ndio maana Mbowe alimkimbia na kurudi baada ya JPM kufariki, sasa kwa nini Lissu na Lema bado wanaogopa kurudi wakati Mbowe karudi na anaendelea na harakati?